Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Asante nguli wa .habari na mjuvi wa sheria kwa maoni haya. Huyu waziri anaweza kupelekea taifa kupoteza mabilioni ya fedha kwa kulipa fidia ya mizigo ya transit itakayoharibika ama kupotea endapo atatekeleza amri yake hiyo batili.
 

Ni utovu wa nidhamu mkubwa sana kwa a mear waziri kutoa tamko la kuikaripia nchi huru yenye Rais wake na Jeshi lake .
Yaani waziri anathubutu kuifokea nchi huru kama Malawi ?

Yaani anaiona Malawi kama Wilaya ya Tanzania Bara maana hata Zanzibar hathubutu kuifokea serikali ya Zanzibar .

Hii nchi inaongozwa kiholela sana .

Huyu mama ameshindwa kabisa kuiongoza serikali yake na kuidhibiti kama Rais .

Rais alitakiwa awasiliane na Rais Mwenzake kutatua masuala ya nchi katika diplomasia ya kiuchumi na kijamii.

Kuhusu Vazi la Kidini . Bashe anacheza Msiki wa mpiga ngoma .
Wazanzibari na Wasomali hawatambui dini yoyote zaidi ya Usilama .

Mabeyo alitukosea sana . Labda Mungu aamue Mwenyewe lakini tumebugi.

Bashe anatuletea Sukari feki , Mambolea na madawa ya ajabu ya mazao , Mbegu bandia za nafaka . Yule Msomali hana habari na watamganyika zaidi ya kuwatumia kujinufaisha kupitia mgongo wa dini.

Tatizo la hizo dini huwezi kutofautisha Gaidi muuaji na Muumini ,wote wa maswali na kujipambanua kama waumini kweli kweli na kutoa zaka nyingi na kujenga nyumba za ibada lakini ndani yao ni watu waovu wakubwa na wauza unga maarufu duniani na wanaotorosha rasilimali na pesa za wananchi huku wakijinufaisha kwa kiwango cha juu sana .
 
Kama suti na tai ni sahihi kuvaa japo ni vazi la Wazungu basi hata Kanzu ni sahihi maana ni vazi la Waswahili 🤣🤣😂 !
 
Hata wakristo wenzako tunakushangaa unapangia watu wavae nini?
 
eti ninatangaza rasmi....utadhani anaongea kitu cha maaana kumbe wapi😎
 
Miaka 63 ya Uhuru bado watu wanajadili nani anavaa nini! stop this nonsense

Hivi alitakiwa avae vazi gani! kwa sheria gani au kanuni ipi ya nchi.

Badala ya kujadili maudhui ya alichosema, watu wanajadili vazi. Tanzania tumefeli sana

I wish hii ingekuwa post ya mwisho! kwa wenye weledi ili Wajinga na Wapuuzi waendelee na mjadala

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Vyama vya upinzani vina udini
 
Mwacheni muhumi asidanganye tu.. maana Ukikuta watu vindaki ndaki diniimelala lazima udanganywe maana sio dhambi ukidanganya kwenye hali tatu,Mkeo,Wakati wa Vita au Rafiki kuna nani tena anabakia hapo hahahaha Huu ni wakati wa vita ya Kibiashara! Malawi ni Marafiki zetu na adui kwa namna nyingine kuhusu Ziwa Nyassa.. So udanganyifu inabidi uvae Vazi ramsi dhambi ipeperuke
 
Yawezekana nalo linawakera kama la Bashe
Kuna dress code ya Viongozi wa Serikali, hawjivalii hovyo wakiwa kwenye ofisi ya umma hasa pale wanapoenda kutoa official statement ya Serikali.
 
Kuna dress code ya Viongozi wa Serikali, hawjivalii hovyo wakiwa kwenye ofisi ya umma hasa pale wanapoenda kutoa official statement ya Serikali.
Nyerere mwenyewe lilikuwa ndo vazi lake hata anapotoa hiyo official statement....
 
Usilete ujinga usiokuwa na viwango.
Vaa kandambili kama mswahili na uende Umoja wa Mataifa, ofisi yoyote ya kibalozi au hata Ikulu yetu.
Hata ofisi za mlinzi huingii.
 
Bashe umevaa kihuni mno, unatoa ujumbe wa kimataifa huku umevaa mavazi ya mtaani (kofia na gunia)?
 
Kanzu ni formal dress nchi nyingi tu Duniani



Hata ustadh John na Ben walikua wakivaa even kwenye formal issues.
 
Usilete ujinga usiokuwa na viwango.
Vaa kandambili kama mswahili na uende Umoja wa Mataifa, ofisi yoyote ya kibalozi au hata Ikulu yetu.
Hata ofisi za mlinzi huingii.
Ushawahi kuona Mabalozi wa Saudia, UAE etc wanavyovaa? Wanazuiwa? Sio tu balozi zenu, hadi Ikulu ya Marekani wanavaa makobazi na Kanzu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…