Bashiru Ally: Heshima ya nchi yetu imeshuka, tunadhalilika kwa njaa

Hii ni akili kubwa wajuaji aki @hbashe, Pascal Mayalla mana wanafiki kiwango cha @zitt njoo na majibu.
 
Ifike hatua hii forum iwe ya kuleta fikra pana za kufikirisha na siyo hisia! Mhe. Rais Samia amejipambanua ni mwanademokrasia ndiyo maana hadi Mdude Chadema huwa anavuka mipaka lakini hafanywi kitu. Dk. Bashiru ni mbunge wa CCM, anamtii na kumheshimu Mwenyekiti, Rais, Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia. Sasa hizi hisia za kumjibu anajibiwa nini? #Tujengeni taifa, tuache maneno mengi.🙏🙏🙏
 
Hawa Chawa hawa bila idara tafuta dawa kuwamaliza wataliingiza Taifa mferejini hawa Chawa ni hatari kuliko hata viroboto... Ila Mwalim aliwahi sema Mtu mwenye akili akikwambia jambo lakijinga ukalikubali anakudharau. Najuwa Hata Rais anajuwa Bashiru sio wa level yao ila kwakuwa wamesha jiita Chawa Wacha wajiachie ila huyo ndie yule ajaye wajiandae kisaikolojia siku yake
 
Hivi jamani kweli kweli hamjuwi nani analeta njaa na kila siku anajimwamba fayi hafungi mipaka Yani uzeeni mpaka magunzi alafu tutasalimiana. Hongera Mh Bashiru
 
Bashiru amemaliza kila kitu!
 
Kazi imeanza.
 
Kuhusu kufunga mipaka tusije kurudi huko tena bei za mwaka huu za vyakula zitufunze kuhifadhi chakula msimu wa mavuno.

Kama mdudu kama chungu chungu anatambua umuhimu wa kuhifadhi chakula basi sisi tunaweza fanya vizuri zaidi katika eneo hilo.
 
voicer unadhani huyu anasema hapa leo ugumu wa maisha kwa sababu hatimaye amezikumbuka hoja za Mpina, Gambo au wewe za mwaka juzi?
 
Alikuwa Engineer wa wizi mkubwa wa kura kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania, ana point lakini hakuna mtu na akili timamu akaamini mtu kama huyu, na akili zake za kikomunisti kufikiria sekta binafsi haiwezi kufanya kazi nzuri kwenye maji au nishati naona anazingua tuu, ajifunze na aheshimu sekta binafsi, akumbuke division one nyingi zimetoka sekta binafsi na za serikali zimejaza mafuriko ya division zero
 
Bashiru ni dhahabu ya taifa shida mizengwe ya watu wale kutoboa ni ngumu! lile kundi linawaza kesho nani awe waziri, kesho nani awe mkurugenzi kesho nan awe Dc kesho nani awe RC , kesho nan apewe Uraisi, mijitu ya namna hii haiwezi kuwa na ubunifu mda wote yanawaza nani anataka kuwatoa kwenye ulaji na kuwapinga, ubunifu ni zero , tamaa ya madaraka ndiyo imo kichwani.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Your browser is not able to display this video.
 
Watawala waliweka pamba masikioni wakati wananchi wanapiga kelele kufungwa mipaka kwakuzuia kuuaza chakula nje ya nchi ...suala la chakula ni suala la National security....we rather be proactive than being reactive ,,hili tatizo tumelitengeneza wenyewe .....we must learn from the mistakes------
 
Natoa heshima kwake.

Huyu ni mtu ambaye sikuwahi kumsikia katika matamshi yake anakosimamia. Leo nimemsikia, kwa masikio yangu
 
Tunaenda virse- versa mkuu Germany style ukiongoza ikipigwa nyuma-geuka wa kwanza anakua wa mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…