shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,150
Anamtegemea mtu aliekubal kununuliwa ndo amsaidie kutatua kero. Mtu akikubali kununuliwa huyo hafaiUnavyoshadadia swala la kununuliwa watu bila shaka ww ni mtupu kichwani .unaamini binadamu mwenye akili timamu anaweza kununuliwa ?
Kuwekeana bei elekezi kwenye kitu kama mazao ni ngumu, very cumbersomeAsante!!
Tumeshajua wakulima wanauza nje sabab ya bei kubwa ni jukumu la serikali kutoa bei elekez itakayomfaidisha mkulima mpka mnunuz.Bei iwe inamshawish mkulima kuuza mazao ndan. Ukisema usifunge mipak faham ata tukizalisha tons of milion wakulima watakimbilia nje kuuza mazao yao mpka demand ya nje ifike neutral ndo wataanza kulifikiria soko la ndani. Kufikia demand ya nje sio kaz rahis itachukua mda huku wananchi wakiteseka kweny nchi yao.
Ifanyike research serikali ifaham demand ya ndan kisha itoe bei yenye maslah kwa wote, ile surplus ndo itoke nje
Shukrani kwa hiyo article. Kumbe nilikuwa sahihi kuuliza hivyo, inaonyesha hadi wachumi hilo swala hawalitegemi kutokea ila bado linawaumiza kichwa kulitatua pale likitokea.Hiki kitu kinaitwa stagflation.
Yani oesa hakuna, na bei zinapanda vilevile. Kwetu Hmhaya ni matokeo ya uchumi kutegemea imports sana.
What Is Stagflation, What Causes It, and Why Is It Bad?
Stagflation is the combination of slow economic growth, high unemployment, and a high rate of inflation.www.investopedia.com
Hapana. Kama ni wakati wa kuonyesha uwezo wa uongozi wakati huu ndio sahihi kabisa.Kila mtu yupo. Wakati bado
Mara ya mwisho hii hali kutokea nafikiri miaka 2 labda imepita, hadi vifaa vya ujenzi vilikuwa vinapanda bei ila wakati huo huo watu wakawa wanalalamika hakuna pesa mtaani. Hii combination ndiyo najaribu kuielewa.Chakula ni basic bidhaa mkuu!!
Vuta subra mkuu.Hapana. Kama ni wakati wa kuonyesha uwezo wa uongozi wakati huu ndio sahihi kabisa.
Huoni sasa Samia anavyojitoa waziwazi; na kule kupuliza baada ya kung'ata kunakoma?
Ikumbukwe pia na Samia alikuwemo kwenye hiyo hiyo timu ya Magufuli na Bashiru!!!Wabongo wengi ni watu wanaodanganyika kirahisi sana mkuu
Yani sasa hivi wengine washamuona Bashiru bonge la mkombozi.
Wamesahau ujinga wote aliofanya na Magufuli, au pengine hawajasahau, wanaona ni sawa.
Kwa nini Argentina na Brazil ndio wawe na mahindi ya bei nafuu na sisi tusiwe nayo, tuanzie hapo kwanza.Mh....Watu mnapita na ku like post ila hamchangii?
Okay mi mchango wangu ni, vyakula kupanda bei ni kutokana na ukame wa mwaka jana.
Japo serikali ilihifadhi chakula kingi kwenye maghala hadi maximum yake ya tani laki 2 bado chakula hicho hakikutosha
Swala hili halina suluhu ya muda mfupi, suluhu ya uhakika ni kutengeneza mifumo ya kilimo cha umwagiliaji ambayo itachukua muda na gharama
Ama kama tuagize mahindi ya bei rahisi kutoka Brazil na Argentina? Tukifanya hivyo jua wakulima wetu mahindi yao hayatauzika
Kaka kuna watu wanafany hii biashara nmeongea nao mara kadhaa wanasema nje bei ni nzur kuliko ndan na demand ni kubwa nje, wateja kutoka nje husababisha bei kupanda wao wakitajiwa 2800 tsh per kilo ya mchele wanatoa hii inapelekea ili mfanyabiashara wa ndan apate mchele lazima ashindane na hio bei. Soko la nje linaathir sana.Kuwekeana bei elekezi kwenye kitu kama mazao ni ngumu, very cumbersome
Na hayo masoko ya nje sio kuwa ni makubwa kihivyo sababu na wao wanavuna, masoko ya nje kila mwaka yapo ila hayasababishi nafaka kupanda nchini
, hata kama masoko ya nje yangefungwa kabisa bado mahindi na mchele vingeoanda kwa kiasi kikubwa mwaka huu sababu mavuno yalikua kiduchu
Akili ni nini? Timamu unaipimaje? Na watu wote wanayo hiyo akili timamu?Unavyoshadadia swala la kununuliwa watu bila shaka ww ni mtupu kichwani .unaamini binadamu mwenye akili timamu anaweza kununuliwa ?
Njaa imesababishwa na factors nyingi, hata yeye kama angekuwa hai njaa ingekuwepo.Kulikua na njaa kipind yupo madarakan?
Ungeongelea jinsi Bashir na magufuli walivosababisha njaa ingefana sana. Naomba unambie nin Bashir na magufuli walifany mpka kikasababisha hili janga?
Ukiwa huzalishi sana nchini mwako na unategemea sana kuagiza vitu kutoka nje, halafu huna fedha za kigeni, hii hali ni rahisi sana kutokea. Hiki ndicho kinatokea Tanzania sasa.Shukrani kwa hiyo article. Kumbe nilikuwa sahihi kuuliza hivyo, inaonyesha hadi wachumi hilo swala hawalitegemi kutokea ila bado linawaumiza kichwa kulitatua pale likitokea.
Kwa Tanzania ni tatizo sugu maana nimejiuliza hili swali kwa muda mrefu kwa hiyo najua limekuwa linatokea mara kwa mara. Kuna vitu ningeweza kuvi qoute kwenye article ila ngoja nikitulia nitaisoma zaidi. Nadhani bad economic policies au kuwa na policies zisizoshabihiana au zinazopingana inaweza kuwa inachangia.
Mimi ndiyo maana nilisema huu ujinga wote wa police reform na tume ya hakijinai ni kama kampeni za urais zimeanza mapema tu.Ikumbukwe pia na Samia alikuwemo kwenye hiyo hiyo timu ya Magufuli na Bashiru!!!
Factors nying kama zipi na kweny hizo nying zipi sabab bashiru alisababisha akiwa kweny system ?Njaa imesababishwa na factors nyingi, hata yeye kama angekuwa hai njaa ingekuwepo.
Bado ujajib kile nmeuliza, ni yapi yalifanywa na bashir pamoja na magufuli yaliyopelekea hili janga baada ya miaka miwili(-) ya kifo cha magufuli?Ultimately, nchi ikiwa na njaa na huyu Mgufuli rais, na huyu mwingine Bashiru ni katibu mkuu wa chama, wao ndio wako responsible na njaa hiyo.
Magufuli kashindwa kuanzisha miradi ya ukulima iliyojikita kwenye kuhakikisha food security, hilo ni kosa la kimfumo na kiuongozi.
Matokeo yake nchi kubwa ardhi bwerere, wananchi wanalia njaa.
Huyu Magufuli aliiangusha mapato ya Tanzania kwa kuingilia biashara ya korosho, umeshasahau?
Halafu hawahawa viongozi waliotufikisha hapa, wakitoka kwenye uongozi wanapiga kelele sana.
Hujaona hilo jambo la wazi kabisa?
Inaonekana tuna tofauti za kifalsafa kuhusu wajibu wa viongozi.Bado ujajib kile nmeuliza, ni yapi yalifanywa na bashir pamoja na magufuli yaliyopelekea hili janga baada ya miaka miwili(-) ya kifo cha magufuli?
Huyu naye 'anawashwawashwa'(kwa sauti ya mwenda jahanam Jiwe)"Njaa inadhalilisha heshima na uhuru wa nchi, inatweza utu wa binadamu kwahiyo tatizo la mfumuko wa bei za vyakula ni tatizo ambalo tutake tusitake lazima tuongeze kiwango cha ubunifu kukabiliana nalo, hakuna ukomo wa ubunifu, wananchi wanakibiliana na tatizo hili.
"Nilikuwa nazungumza na wananchi mmoja amesema chakula cha asubuhi na mchana kinaunganishwa kwenye saa 5 na 6, mlo wa usiku unaunganishwa kati ya saa 11 na 12, hawasubiri kujadili mambo ya Ukraine na tabianchi, wameanza kuchukua hatua.
View attachment 2502022
Fact.Angeshauri hayo enzi za jiwe.