Hata ungekuwa wewe Bwasheee..... usingeongea.... ni kama unamla demu afu wkt unashusha wangu anakudidimiza dole la mkkundd.... huwezi kutoka hadharani uje kutuambia....ila jamaa toka mwendazake aondoke yupo kimya sana hajawahi kuongea anajua msala wake
Haya mambo ya kuzozana kikabila nahisi ni psychological comfort kwa wale munaoamini mulionewa kikabila kama Mbowe. Tatizo ni hiyo hali ya kuamini kuna kanda inayoitwa ya kaskazini ambayo sasa akina Kinana wa Arusha hawako pamoja na akina Mbowe wa Kilimanjaro.Unateseka kutokea wapi? Chattle au Simiyu?
Humjui Bashiru wewe! Muulize akupe ripoti ya mali za chama cha mapinduzi, uliza aliweza kuingiza wanachama wangapi baada ya miaka mingi watu kuficha jezi zao!Bashiru ni chali kama kifo cha mende kamwe haji kunyanyuka!
Siasa haina adui wa kudumu mkuu. Kumbuka huyo huyo Bashiru kesho anaweza kuwa boss wa KinanaItakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Ndio maana huwa tuna sema tenda wema kwa kila mtu. Hakuna ajuae kesho yake. Hapo bado rafiki yangu Ally HapiItakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Maandishi hayafutiki!Amepigwa mateke ripoti haijamsaidia!
Sawa Ikemefuna!Aissee, yani things are no longer at ease and they are falling apart in the river between !!
View attachment 2170762
Haya masikio siyo ya tz kabisa
Kati ya watu ambao hawatakaa waisahau corona ni huyu mwamba.View attachment 2170755
Bila picha uzi utanogaje sasa
Akae hivyo hivyo akiongea kitamkuta cha Ulimboka zaidiila jamaa toka mwendazake aondoke yupo kimya sana hajawahi kuongea anajua msala wake
Wapo hoiiii bintaabaniGangs of sukuma land have been bombed with heavy unknown kind of kitu kizito
Kwenda Burundi kwake siyo adhabu maana mwenda kwao siyo mtumwayaani CCM kama hawampendi Bashiru si wamuue / wamfute uraia aende burundi tuu! maana kila kukicha anaongezewa stress mwisho wa siku atajinyonga yule mzee.