Bashiru tunza ahadi yako ya kutokubali uteuzi mwingine wowote

Baada ya Mrema kushinda ubunge Temeke kwa hasira Mkapa akasema Temeke kunavurugu maduka yanachomwa moto! Vyombo vya habari vikipomhoji ni Temeke ipi maana hakuna matukio hayo, akakanusha kuwa hakuwahi kusema hivyo, zilipochezwa kanda zilizomrekidi akasema wamemkwoti vibaya!
Hakuna mama yake wala shangazi yake korona, vaeni barakoa kujikinga korona!
Tanzania Baby Class.
 
Mwendelezo wa chama dola halisia kofia mbili.RC,DC watakuwa wakuu makatibu mikoa na wilaya.
Ubaguzi wa hali ya juu sana,wakati vijana walio maliza vyuo wamejazana kitaa na vyeti vyao.

Wao wanalimbikiza mavyeo kwa mtu mmoja kisa mwana ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…