GE2025 Bashungwa: Puuzieni taarifa zinazolenga kuleta taharuki, Polisi watachukua hatua kwa wanaotishia usalama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii nchi jamani,Bunge limisha vunjwa kwa sasa hakuna Mbunge au Waziri yeye Bashungwa anazindua jengo kama nani hasa????

Ni muhimu sheria za nchi zikafuata.
Halafu huo usalama anaousema ndio lile liwaya linalounganisha NIDA, NEC na CCM?
 
Kwani baraza la mawaziri halijafungwa hadi sasa
 
Poles
Kishindo cha pole pole kimetikisa nyeti za kuku
 
CCM wanatamani uchaguzi upite Tu maana sidhani kama wanalala usingizi
 
Ina maana huyu bwana hana akili timamu au ni unafiki tu?

Utasemajie kuwa eti watanzania WOTE washiriki uchaguzi, wakati chama pekee cha upinzani, CHADEMA, wamezuiwa kushiriki uchaguzi?

Angekuwa muwazi, akasema kuwa wanaCCM na vyama vile mamluki wa CCM, lazima waende kwenye vituo vya kupigia kura ili kuhalalisha ushetani wa CCM.
 
We Nshomile nafikiri hujielewi. Muda wa kuendelea kuwafanya Watz ni WAJINGA, it's over. Baada ya Polepole kuweka wazi siri za CCM kuhusu Wizi wa Kura hadharani,^76 huwezi kumshawishi Mtz eti apuuze hiyo taarifa!!! No way kaka na Pole sana.
 
Bashungwa hajui chochote
Inashangaza sana. Sijui watu wa aina hii huwa wanawaokota wapi?

Huyu mtu hata kwa mwonekano wake tu anaonyesha kuwa na kasoro kubwa kimaumbile. Ni wazi huyu anao mtindio wa akili.
 
Kwani jamaa alishawahi pata stroke?
Hebu kwanza. Nilikuwa sijalifikiria hilo. Inawezekana huyu mtu ni mwathirika wa janga hilo! Huyu hayupo sawasawa hata kidogo.
 
Tunaombolexa wenzetu waliopotea, hatuna habari na hayo mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…