Bashungwa: Rais anayefuata baada ya Samia?

Bashungwa: Rais anayefuata baada ya Samia?

Bado hatujafikia hiyo fomula, hapa nchini hata chizi anaongiza mradi awe na koneksheni
Amefanya Nini cha kipekee kwa nafasi alizokwosha tumikia hadi afikiriwe kuwa anaweza kuwa Rais, all in all wananchi titamuua mda ukifika
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Zamu ijayo ni kanda ya kati,, mwigulu, Tundu lisu, Nyarandu ama simbachawin.. 😂😂
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Waziri mmoja wa Kagame mwezi uliopita alidai Kivu ni sehemu halali ya Rwanda kihistoria ila wakoloni walikosea na kuwatenga na ndugu zao Banyamulenge.
Huko Ngara kwa Bashungwa hali ni hiyo hiyo ( just thinking aloud)
 
Mstaarabu sana kuweza kuongoza nchi kama Tanzania.

Hii nchi inataka mtu mwenye mdomo kama Magufuli, Chalamila (huyu sio presidential material), Selemani Jaffo, Hussein Mwinyi.

Bashungwa anafaa kwenye civil services huko katibu mkuu wa wizara, balozi, TISS huko wamtengeneza kuwa kigogo. Lakini nafasi za juu za siasa; porojo hawezi.
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Alionekana kijana mmoja akiweweseka na mandoto ya ajabu
 
Aliyetuambia kuwa alikufa Kwa mfumo wa moyo kutofanya KAZI ndo huyo huyo alituambia kuwa alikufa Kwa corona akiwa na piraa.🤭🤭
Eeeh COVID 19 ndio ilisababisha mfumo ugome maana iliongeza presha kwenye mfumo wa kupumua
 
Wakabila hawapaswi kuwa marais mpaka pale ukabila wao uishe
 
Eeeh COVID 19 ndio ilisababisha mfumo ugome maana iliongeza presha kwenye mfumo wa kupumua
Mtu mmoja alifariki ktk mazingira ya kutatanisha na dhuluma, ndugu waliopanga mazishi kesho yake,

Ilipofika usiku wa kuamkia siku yamazishi, marehemu alianza kuwatokea ndugu na jamaa mbalimbali msibani na kupotea baada ya kuonekana. Anamtokea huyu anapotea tena. Unajificha UVUNGUNI huyu hapa,ukikimbia anapotea, anakutokea tena eneo lingine.

Mwonekano wake ulikuwa wa vazi jeupe, usoni huioni sura, miguu pia haipo, anaelea angani na kupotea,

Mimi pekeangu ndo sikuwa namuona sababu sikuwa na HOFU, baadae sana baada ya kuzidi tafrani, nami nilimwona mtu huyo.

Usiku Ule ulikuwa tafrani na nguo kuchanika, Hadi kunakucha, hapakuwa na ndugu hata mmoja Kwa ajili ya maziko,

Hadi Leo haijulikani nani aliuzika mwili Ule wa marehemu.

Niliamini,

Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Usiombe KIVULI kikufuate😳😳😳

NB; Hakuna mahusiano na conversation zetu, nimekumbuka tu story hii uliponijibu kama daktari wa mchongo.
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Amka ulipolala utakojoa
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Dah,,, kaote upya mkuu.....
Jokes[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Hata uraisi wa kagera hawezi kupata,labda uraisi wa fm academia
 
Hata mimi leo hii picha ya Bashungwa ilinijia kichwani ghafla na kunitambulisha huyu ndie Rais ajaye
 
Back
Top Bottom