Abou Shaymaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2022
Posts
1,479
Reaction score
3,229
Wakuu mwenye taarifa kamili atujuze maan kuna ndugu yetu tumepewa taarifa kafariki alikuwa humo,
Innalillah wainna ilayhi raajiu'uun

=====
Watu 14 wamefariki dunia na wengine 26 wakijeruhiwa katika ajali iyohusisha basi la Kampuni ya Baraka Classic, yenye namba za usajili T 336 DPW, inayofanya safari yake kutoka wilayani Tandahimba, mkoani Mtwara, kuelekea jijini Dar es Salaam.

Waliofariki ni waliokuwa abiria wa basi hilo ni 12 na 2 ni watembea kwa miguu ambao waligongwa na basi hilo.


Your browser is not able to display this video.
 
Pole kwa majeruhi na familia za wahusika.
Tuache uchunguzi ufanyike, nyum ya hizo ajali kuna mengi japo Hakuna uchunguzi umewahi kusema kuwa tajiri alitoa kafara au alitaka alipwe na bima basi lingine>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…