K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
wakukurupuka1 umeadimika kwenye kuripoti matukio ya ajali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulidhani jamii forum ipo tu kwenu?Watu wa NEWALA kumbe mpo jamii forum[emoji250][emoji834][emoji2785][emoji308]
Ajali imetokea kijiji cha Mtama majira ya saa 2 asubuhi, gari ilifeli breki ikiwa inateremka mlima Kinolombedo kabla ya kuufikia huo mteremko gari ilikuwa kasi sana kiasi wananchi wa vijiji jirani wakawa wanajiuliza mbona baraka inatembea kama inaendeshwa na wezi.Ilikuaje...??
Classmates 14 R.i.P ni wengi sana....[emoji26]
Duuuh,Inatisha sana.RIP kwa ndugu zetu waliotutanguliaAjali imetokea kijiji cha Mtama majira ya saa 2 asubuhi, gari ilifeli breki ikiwa inateremka mlima Kinolombedo kabla ya kuufikia huo mteremko gari ilikuwa kasi sana kiasi wananchi wa vijiji jirani wakawa wanajiuliza mbona baraka inatembea kama inaendeshwa na wezi.
Ilipofeli breki pale mteremkoni, konda aliamriwa kushuka na kukimbia kutupa mawe barabarani ili gari isimame lakini gari haikuweza kusimama wala kupunguza mwendo, ilipasua hayo mawe na ikaendelea kushuka kwa mwendo mkali, dereva akamuamuru Konda wa kike ambae alibaki ndani aende nyuma kabisa ya gari kwa sababu alishahisi gari inaweza kupata ajali.
Baada ya kumaliza mteremko gari ilifika eneo la Kona kali mbili (Kona ya Nyale), dereva alifanikiwa kuimaliza kona ya kwanza, alipoianza kona ya pili gari ikachepuka ikaingia kwenye karavati, kutokana na ilishafeli breki na iko kasi ilidunda tu kwenye ule mfereji wa karavati na ikarudi tena barabarani na ilivyofikia pale kwenye karavati ikatimua mzinga wa nyuki kwahiyo fungu la nyuki likaingia ndani ya gari, taharuki ikawa kubwa, wakati huo gari imechomoka kwenye karavati ipo barabarani imeinama inatembea kwa matairi ya upande mmoja.
Gari inatembea kwa taili za upande mmoja + Nyuki wanawashambulia Presha ya abiria ikawa kubwa wakaanza kutaka kuruka kupitia madirisha, wengi wakawa wapo madirishani wameshatokeza vichwa nje kwa kuruka, ile gari kutokana na ilitembea kwa taili za upande mmoja kwa sekunde kadhaa na watu walishajaa madirishani kutaka kuchomoka ikadondoka kwa upande kwa bahati mbaya zaidi upande wa chini ulipofikia gari barabarani ndio upande watu walitaka kutokea, gari iliburuza ule ubavu ikiwa barabarani kipande kama cha mita 15 (kwa makadirio) mpka ikatoka barabarani ma kufika pembeni, Watu wakawa wameshasagwa vichwa na viungo vingine, barabara ilitapakaa maini, mautumbo, umeshuhudiwa moyo wa mtu unadunda kwenye nyasi, kuna maiti fulani ilikatika kiunoni vipande viwili, Rasta man mmoja alichinjwa shingo yake, dada mmoja alisafiri nae akabeba kichwa cha rasta kukileta kwenye ambulance. Waliosafiri pamoja ikitokea mmoja amepona anatafuta maiti ya mwenzake kwa kuangalia nguo aliovaa sio sura au mwili.
Usaidizi na utoaji abiria nje ulikuwa mgumu kutokana na nyuki ambao walijaa ndani ya gari wakifanya mashambulizi, wakazi walijitahidi kuwatoa abiria kwenye gari wakiwa maiti ma wengine majeruhi, pia majeruhi wengine ni wakazi wa mtama ambao wamenga'atwa na nyuki kwa kiasi kikubwa mpka wakazidiwa, Ambulance 2 na gari ya Polisi Mtama zilitumika kukimbiza majeruhi hospitali.
Ajali imeua pia mkazi mmoja wa mtama ambae ni mzee akienda shamba akiwa kwenye baiskeli yake, gari ilivyoanguka ilimkusanya na yeye.
Maiti 5 zilichelewa sana kutolewa kutokana na zilikandamizwa chini na gar, na kati ya hizo mbili ziliunganishwa Kama mshikaki na chuma kwahiyo kukata kile chuma ilikuwa ni kazi ya masaa, sijui walitolewa saa ngapi lakini mpaka saa 7 bado ngoma ilikuwa ngumu.
Braza mwanajeshi ambae ulichomoka kwenye ajali na ukutaka kukaa hata dakika 10 ukidai unawahi kuripoti kambini Zanzibar natumai umefika salama.
Ajali ya Baraka pale Mtama ni mbaya sana. Mungu awarehemu wote waliotangulia mbele za haki ma awaponye majeruhi wote waweze kurudi kwenye majukumu yao kwa haraka.
Kiundwe chombo maalumu ikiwezekana wataalamu watokee NIT majukumu ya chombo hicho iwe ukaguzi thabiti wa magari, hawa traffic polisi wabakie kuongoza magari tu, huu ukaguzi wao wa kuchungulia rangi na matope hauna tija hata kidogo sanasana ni kula rushwa tu ndicho wanawezaMabasi mabovu.
Barabara Mbovu.
Matrafic wabovu.
Kwa akili ya kawaida siamini kama konda anaweza kulizidi spidi bus lililoporomoka kwa kukosa breakIlipofeli breki pale mteremkoni, konda aliamriwa kushuka na kukimbia kutupa mawe barabarani ili gari isimame lakini gari haikuweza kusimama wala kupunguza mwendo, ilipasua hayo mawe na ikaendelea kushuka kwa mwendo mkali, dereva akamuamuru Konda wa kike ambae alibaki ndani aende nyuma kabisa ya gari kwa sababu alishahisi gari inaweza kupata ajali.
SadGari inatembea kwa taili za upande mmoja + Nyuki wanawashambulia Presha ya abiria ikawa kubwa wakaanza kutaka kuruka kupitia madirisha, wengi wakawa wapo madirishani wameshatokeza vichwa nje kwa kuruka, ile gari kutokana na ilitembea kwa taili za upande mmoja kwa sekunde kadhaa na watu walishajaa madirishani kutaka kuchomoka ikadondoka kwa upande kwa bahati mbaya zaidi upande wa chini ulipofikia gari barabarani ndio upande watu walitaka kutokea, gari iliburuza ule ubavu ikiwa barabarani kipande kama cha mita 15 (kwa makadirio) mpka ikatoka barabarani ma kufika pembeni, Watu wakawa wameshasagwa vichwa na viungo vingine, barabara ilitapakaa maini, mautumbo, umeshuhudiwa moyo wa mtu unadunda kwenye nyasi, kuna maiti fulani ilikatika kiunoni vipande viwili, Rasta man mmoja alichinjwa shingo yake, dada mmoja alisafiri nae akabeba kichwa cha rasta kukileta kwenye ambulance. Waliosafiri pamoja ikitokea mmoja amepona anatafuta maiti ya mwenzake kwa kuangalia nguo aliovaa sio sura au mwili.
Duh sio poa...Ajali imetokea kijiji cha Mtama majira ya saa 2 asubuhi, gari ilifeli breki ikiwa inateremka mlima Kinolombedo kabla ya kuufikia huo mteremko gari ilikuwa kasi sana kiasi wananchi wa vijiji jirani wakawa wanajiuliza mbona baraka inatembea kama inaendeshwa na wezi.
Ilipofeli breki pale mteremkoni, konda aliamriwa kushuka na kukimbia kutupa mawe barabarani ili gari isimame lakini gari haikuweza kusimama wala kupunguza mwendo, ilipasua hayo mawe na ikaendelea kushuka kwa mwendo mkali, dereva akamuamuru Konda wa kike ambae alibaki ndani aende nyuma kabisa ya gari kwa sababu alishahisi gari inaweza kupata ajali.
Baada ya kumaliza mteremko gari ilifika eneo la Kona kali mbili (Kona ya Nyale), dereva alifanikiwa kuimaliza kona ya kwanza, alipoianza kona ya pili gari ikachepuka ikaingia kwenye karavati, kutokana na ilishafeli breki na iko kasi ilidunda tu kwenye ule mfereji wa karavati na ikarudi tena barabarani na ilivyofikia pale kwenye karavati ikatimua mzinga wa nyuki kwahiyo fungu la nyuki likaingia ndani ya gari, taharuki ikawa kubwa, wakati huo gari imechomoka kwenye karavati ipo barabarani imeinama inatembea kwa matairi ya upande mmoja.
Gari inatembea kwa taili za upande mmoja + Nyuki wanawashambulia Presha ya abiria ikawa kubwa wakaanza kutaka kuruka kupitia madirisha, wengi wakawa wapo madirishani wameshatokeza vichwa nje kwa kuruka, ile gari kutokana na ilitembea kwa taili za upande mmoja kwa sekunde kadhaa na watu walishajaa madirishani kutaka kuchomoka ikadondoka kwa upande kwa bahati mbaya zaidi upande wa chini ulipofikia gari barabarani ndio upande watu walitaka kutokea, gari iliburuza ule ubavu ikiwa barabarani kipande kama cha mita 15 (kwa makadirio) mpka ikatoka barabarani ma kufika pembeni, Watu wakawa wameshasagwa vichwa na viungo vingine, barabara ilitapakaa maini, mautumbo, umeshuhudiwa moyo wa mtu unadunda kwenye nyasi, kuna maiti fulani ilikatika kiunoni vipande viwili, Rasta man mmoja alichinjwa shingo yake, dada mmoja alisafiri nae akabeba kichwa cha rasta kukileta kwenye ambulance. Waliosafiri pamoja ikitokea mmoja amepona anatafuta maiti ya mwenzake kwa kuangalia nguo aliovaa sio sura au mwili.
Usaidizi na utoaji abiria nje ulikuwa mgumu kutokana na nyuki ambao walijaa ndani ya gari wakifanya mashambulizi, wakazi walijitahidi kuwatoa abiria kwenye gari wakiwa maiti ma wengine majeruhi, pia majeruhi wengine ni wakazi wa mtama ambao wamenga'atwa na nyuki kwa kiasi kikubwa mpka wakazidiwa, Ambulance 2 na gari ya Polisi Mtama zilitumika kukimbiza majeruhi hospitali.
Ajali imeua pia mkazi mmoja wa mtama ambae ni mzee akienda shamba akiwa kwenye baiskeli yake, gari ilivyoanguka ilimkusanya na yeye.
Maiti 5 zilichelewa sana kutolewa kutokana na zilikandamizwa chini na gar, na kati ya hizo mbili ziliunganishwa Kama mshikaki na chuma kwahiyo kukata kile chuma ilikuwa ni kazi ya masaa, sijui walitolewa saa ngapi lakini mpaka saa 7 bado ngoma ilikuwa ngumu.
Braza mwanajeshi ambae ulichomoka kwenye ajali na ukutaka kukaa hata dakika 10 ukidai unawahi kuripoti kambini Zanzibar natumai umefika salama.
Ajali ya Baraka pale Mtama ni mbaya sana. Mungu awarehemu wote waliotangulia mbele za haki ma awaponye majeruhi wote waweze kurudi kwenye majukumu yao kwa haraka.
Mkasa mgumu sana.Ajali imetokea kijiji cha Mtama majira ya saa 2 asubuhi, gari ilifeli breki ikiwa inateremka mlima Kinolombedo kabla ya kuufikia huo mteremko gari ilikuwa kasi sana kiasi wananchi wa vijiji jirani wakawa wanajiuliza mbona baraka inatembea kama inaendeshwa na wezi.

Poleni kwa msiba!Wakuu mwenye taarifa kamili atujuze maan kuna ndugu yetu tumepewa taarifa kafariki alikuwa humo,
Innalillah wainna ilayhi raajiu'uun
=====
Watu 14 wamefariki dunia na wengine 26 wakijeruhiwa katika ajali iyohusisha basi la Kampuni ya Baraka Classic, yenye namba za usajili T 336 DPW, inayofanya safari yake kutoka wilayani Tandahimba, mkoani Mtwara, kuelekea jijini Dar es Salaam.
Waliofariki ni waliokuwa abiria wa basi hilo ni 12 na 2 ni watembea kwa miguu ambao waligongwa na basi hilo.
View attachment 2825442View attachment 2825443View attachment 2825444
View attachment 2825775
Hii ni point nzuri sana. Uko makini mkuuKwa akili ya kawaida siamini kama konda anaweza kulizidi spidi bus lililoporomoka kwa kukosa break
Hii comment nimekuja kuielewa baada ya kusoma comment no 26Lindi wanapenda mioshi