bwaiseekwetu
Senior Member
- May 29, 2022
- 144
- 431
Nakazia,Huyo koplo kajikosesha nyota kwa haraka zake scenario kama hiyo umepona na upo ndani ya gwanda ukasaidia uokoaji wa majeruhi na kutoa maiti unakosaje kupata salute kwa kikosi chako
200% correct. Lakini pia tukumbuke ni mwisho wa mwakaPole kwa majeruhi na familia za wahusika.
Tuache uchunguzi ufanyike, nyum ya hizo ajali kuna mengi japo Hakuna uchunguzi umewahi kusema kuwa tajiri alitoa kafara au alitaka alipwe na bima basi lingine>
Hao ni jobless ambao wametengenezwa na mfumo, ndio kazi iliyobaki kwao.Shida pia ipo kwa wale vijana Wahuni wanaosimamaga mabarabarani kushangilia haya mabasi,kwa kweli huwapa vichwa Madereva kuendesha mabasi kwa spidi kubwa,ningekuwa IGP ningetoa oda wale wahuni wawe wanakamatwa na kuwekwa Mahabusu. Ni aibu sana unakuta jitu zima linakesha mabarabarani kushangilia mabasi sijui kumwagia maji,huwa nakereka sana
Duu aisee yaani kama muvi vile,Mungu awarehamu kwa kweli
Aise wale wanakera sanaShida pia ipo kwa wale vijana Wahuni wanaosimamaga mabarabarani kushangilia haya mabasi,kwa kweli huwapa vichwa Madereva kuendesha mabasi kwa spidi kubwa,ningekuwa IGP ningetoa oda wale wahuni wawe wanakamatwa na kuwekwa Mahabusu. Ni aibu sana unakuta jitu zima linakesha mabarabarani kushangilia mabasi sijui kumwagia maji,huwa nakereka sana
Habari ya kusikitisha sana. Umeileta kwa simulizi mwanana iliyoongezwa chumvi nyingi kwenye chai...Ajali imetokea kijiji cha Mtama majira ya saa 2 asubuhi, gari ilifeli breki ikiwa inateremka mlima Kinolombedo kabla ya kuufikia huo mteremko gari ilikuwa kasi sana kiasi wananchi wa vijiji jirani wakawa wanajiuliza mbona baraka inatembea kama inaendeshwa na wezi.
Ilipofeli breki pale mteremkoni, konda aliamriwa kushuka na kukimbia kutupa mawe barabarani ili gari isimame lakini gari haikuweza kusimama wala kupunguza mwendo, ilipasua hayo mawe na ikaendelea kushuka kwa mwendo mkali, dereva akamuamuru Konda wa kike ambae alibaki ndani aende nyuma kabisa ya gari kwa sababu alishahisi gari inaweza kupata ajali.
Baada ya kumaliza mteremko gari ilifika eneo la Kona kali mbili (Kona ya Nyale), dereva alifanikiwa kuimaliza kona ya kwanza, alipoianza kona ya pili gari ikachepuka ikaingia kwenye karavati, kutokana na ilishafeli breki na iko kasi ilidunda tu kwenye ule mfereji wa karavati na ikarudi tena barabarani na ilivyofikia pale kwenye karavati ikatimua mzinga wa nyuki kwahiyo fungu la nyuki likaingia ndani ya gari, taharuki ikawa kubwa, wakati huo gari imechomoka kwenye karavati ipo barabarani imeinama inatembea kwa matairi ya upande mmoja.
Gari inatembea kwa taili za upande mmoja + Nyuki wanawashambulia Presha ya abiria ikawa kubwa wakaanza kutaka kuruka kupitia madirisha, wengi wakawa wapo madirishani wameshatokeza vichwa nje kwa kuruka, ile gari kutokana na ilitembea kwa taili za upande mmoja kwa sekunde kadhaa na watu walishajaa madirishani kutaka kuchomoka ikadondoka kwa upande kwa bahati mbaya zaidi upande wa chini ulipofikia gari barabarani ndio upande watu walitaka kutokea, gari iliburuza ule ubavu ikiwa barabarani kipande kama cha mita 15 (kwa makadirio) mpka ikatoka barabarani ma kufika pembeni, Watu wakawa wameshasagwa vichwa na viungo vingine, barabara ilitapakaa maini, mautumbo, umeshuhudiwa moyo wa mtu unadunda kwenye nyasi, kuna maiti fulani ilikatika kiunoni vipande viwili, Rasta man mmoja alichinjwa shingo yake, dada mmoja alisafiri nae akabeba kichwa cha rasta kukileta kwenye ambulance. Waliosafiri pamoja ikitokea mmoja amepona anatafuta maiti ya mwenzake kwa kuangalia nguo aliovaa sio sura au mwili.
Usaidizi na utoaji abiria nje ulikuwa mgumu kutokana na nyuki ambao walijaa ndani ya gari wakifanya mashambulizi, wakazi walijitahidi kuwatoa abiria kwenye gari wakiwa maiti ma wengine majeruhi, pia majeruhi wengine ni wakazi wa mtama ambao wamenga'atwa na nyuki kwa kiasi kikubwa mpka wakazidiwa, Ambulance 2 na gari ya Polisi Mtama zilitumika kukimbiza majeruhi hospitali.
Ajali imeua pia mkazi mmoja wa mtama ambae ni mzee akienda shamba akiwa kwenye baiskeli yake, gari ilivyoanguka ilimkusanya na yeye.
Maiti 5 zilichelewa sana kutolewa kutokana na zilikandamizwa chini na gar, na kati ya hizo mbili ziliunganishwa Kama mshikaki na chuma kwahiyo kukata kile chuma ilikuwa ni kazi ya masaa, sijui walitolewa saa ngapi lakini mpaka saa 7 bado ngoma ilikuwa ngumu.
Braza mwanajeshi ambae ulichomoka kwenye ajali na ukutaka kukaa hata dakika 10 ukidai unawahi kuripoti kambini Zanzibar natumai umefika salama.
Ajali ya Baraka pale Mtama ni mbaya sana. Mungu awarehemu wote waliotangulia mbele za haki ma awaponye majeruhi wote waweze kurudi kwenye majukumu yao kwa haraka.
Unaleta habari za ndege kwenye makampuni uchwara ya mabasi ya kibongo. Hivi unajua pressure wanayopewa madereva wewe? Unajua ni watu wangapi wanatafuta nafasi za kazi udereva?Umeona sasa, kwanini nasema KOSA ni la DEREVA? kwahiyo gari mbovu wewe kama Dereva unaendesha hivyo hivyo kisa BOSS?
Moja ya Majukumu ya Dereva ni kuhakikisha Chombo kipo salama, Abiria, na Yeye Mwenyewe pia na watumiaji wengine.
Ndio maana huku ktk Sekta ya Anga, kabla ya kutake off kuna Pre flight checks ambazo zinaambatana na Briefing after kufanya Airworthiness inspection. Na kama PIC siwezi kuanza/kuboard kama chombo kina shida, safety first.
Aende MAHAKAMANI alafu ajitetee et Boss alisema niendeshe hivyo hivyo.. utaenda kumpelekea Mikate na Soda.
Sikia Kijana..Unaleta habari za ndege kwenye makampuni uchwara ya mabasi ya kibongo. Hivi unajua pressure wanayopewa madereva wewe? Unajua ni watu wangapi wanatafuta nafasi za kazi udereva?
Jumatatu tumetoka Arusha na Kilimanjaro, dereva tangu anaanza safari ana speed ndogo sana mpaka tunashangaa. Njiani kasimama mara mbili ananyoosha miguu na kufanya mazoezi, imagine!
Tumefika Mombo akashindwa kuendelea, mguu mmoja umekufa ganzi anatembea kwa shida. Akachukua simu ampigie mke wake kumbe hata kuona kwenye simu haoni muda huo ina maana kwenye gari hakuwa anaona vizuri. Kupewa huduma ya kwanza akajulikana BP imepanda.
Tukasubiri dereva mwingine ndio aje Mombo mpaka kuja kufika Dar ni saa saba usiku wakati Arusha tumetoka saa mbili asubuhi.
Dereva kama huyo alijua hayuko vizuri kiafya. Ila unaanzaje kuiambia kampuni yenye dereva mmoja kwenye basi, na hakuna dereva wa ziada kituo chao kikubwa kama Arusha kwamba sijisikii vizuri siendeshi. Watu wamekaa kwenye seats tajiri asikie eti dereva haendeshi "anajisikia vibaya" huyo dereva ana kazi?
Hizo haki za mfanyakazi huku kwenye transportation hamna. Hapo hatujasema madereva wa malori ya masafa marefu uko ndio kuna majanga zaidi.
K.u.m.a la Mama ako, narudia tena.T14 Armata bora na wewe useme huyu dogo Gentlemen_ analeta ujuaji kwenye kazi za watu. kaja mjini juzi shemeji yake kamfundisha gari wiki mbili tu tayari na yeye anajiona dereva anakuja kuandika uharo hapa.
Narudia tena mama yako anayo pia, tena kubwa kama BWAWA LA JULIAS NYERERE.K.u.m.a la Mama ako, narudia tena.
Achana na mimi nishakuonya.Narudia tena mama yako anayo pia, tena kubwa kama BWAWA LA JULIAS NYERERE.
Hahahahaha,naona umeamua kuendana na ujinga wakeUmeongea/umesema maneno mazuri/ya busara kwa kutoa ushauri/maoni juu ya tukio/ajali iliyotokea asubuhi/alfajiri ilihusisha treni/kichwa cha treni na basi/gari la abiria na kupelekea majeruhi/vifo ambamo wameumia/kuvunjika na wengine kufa/kufariki katika hii/hiyo ajali ambayo imeleta huzuni/masikitiko katika jamii hususani/mahususi
Upewe maua/majani yako bibie/babue
Amekwambia kwenye ndege kuna briefings na pre flight check. Anadhani ndege na Super Feo vyote sawasawa kwenye ufuatiliaji na ukaguzi.T14 Armata bora na wewe useme huyu dogo Gentlemen_ analeta ujuaji kwenye kazi za watu. kaja mjini juzi shemeji yake kamfundisha gari wiki mbili tu tayari na yeye anajiona dereva anakuja kuandika uharo hapa.
Lini uliwahi sikia vyama vya wafanyakazi na madereva vinamtetea dereva. Tuanze na malipo yao ya umbali huwa wanalipwa hata nusu yake?Sikia Kijana..
Ndio maana kuna vyama vya WAFANYAKAZI kuna Vyamq vya Madereva.. kuna haki za wafanyakazi.
Wewe ndio unaleta ujinga kwa kulaumu madereva sehemu ya kulaumu LATRA, mamlaka za usalama barabarani, vyombo vya sheria na wamiliki.Usitetee ujinga.
Hakuwa na fatigue, alikuwa na BP kwa mara ya kwanza na hakuwa anajijua. Kituoni hakuna vipimo, najua na hapa utamlaumu dereva kwanini hana personal physician au kwanini hana vifaa vya kujipima afya. Kaja kugundua ana pressure tukiwa Mombo.Huyo angesababisha ajali kwa sababu ya kitu kinachoitwa HUMAN FACTOR.. ambayo moja ya kipengele chake ni Fatigue.. pia na visio-acute.
Dereva anayejielewa umpate Baraka? Yani huyu Baraka anayeokoteza madereva waliododa wasio na maisha ndio unatarajia apate madereva wanaojielewa na wasimamie sheria za barabarani? Bado hapo huoni uhusika wa mmiliki wa bus.Kwa nature ya ajali ya BARAKA ni ubovu wa Chombo na sio shida ya dereva kuumwa, kingine DEREVA anaejielewa hawezi kurisk maisha yake kwasababu ya kazi/Boss.
Nani asimamie hiyo misingi. Ni hawa madereva ambao asipofanya kazi siku hiyo hali?Yaani kivyovyote usiingize upumbavu wa Boss atanifanya hivi au vile kisa nimefatq kanuni za udereva na Usalama barabarani. Hakuna excuses ktk maisha ya watu.
Tumsamehe mkuu inaonekana amekariri notes.Amekwambia kwenye ndege kuna briefings na pre flight check. Anadhani ndege na Super Feo vyote sawasawa kwenye ufuatiliaji na ukaguzi.
1> Umetoka kwenye HOJA ya Msingi ya DEREVA ndie mwenye makosa na kugeukia upande wa MASLAHI Binafsi ya Dereva.Lini uliwahi sikia vyama vya wafanyakazi na madereva vinamtetea dereva. Tuanze na malipo yao ya umbali huwa wanalipwa hata nusu yake?
Wana bima?
Wanapumzishwa?
Wanapewa likizo?
Wote wanalipiwa mifuko ya hifadhi jamii?
2> naomba uniambie hapo... ktk hiyo ajali LATRA anakosa gani labda.Wewe ndio unaleta ujinga kwa kulaumu madereva sehemu ya kulaumu LATRA, mamlaka za usalama barabarani, vyombo vya sheria na wamiliki.
3> Kitendo cha kuugua ni cha kawaida na inajulikana, tujikite ktk uchambuzi wa ajali ya BARAKA je Dereva wake alikuwa na BP pia?Hakuwa na fatigue, alikuwa na BP kwa mara ya kwanza na hakuwa anajijua. Kituoni hakuna vipimo, najua na hapa utamlaumu dereva kwanini hana personal physician au kwanini hana vifaa vya kujipima afya. Kaja kugundua ana pressure tukiwa Mombo.
Dereva anayejielewa umpate Baraka? Yani huyu Baraka anayeokoteza madereva waliododa wasio na maisha ndio unatarajia apate madereva wanaojielewa na wasimamie sheria za barabarani? Bado hapo huoni uhusika wa mmiliki wa bus.
Kitu ambacho hukijui uwe unanyamaza sometimes inakupunguzia kuonekana Mpumbavu hadharani.. inaheshimisha sana.Amekwambia kwenye ndege kuna briefings na pre flight check. Anadhani ndege na Super Feo vyote sawasawa kwenye ufuatiliaji na ukaguzi.