Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya bus au?December ndio inaanza hivi
Kisongo - Arusha kuna nyingine tena
Dr hii ya kusaidia wahanga it's a NO, kama wewe hauna utaaalam wa masuala ya medical, HAURUHUSIWI, kumgusa mhanga maana HUJUI, raia unachoweza ni kusaidia mambo yasiyohusiana na utaalamu huo, usimnyanyue mhanga kabla ya kujua ameumia wapi, haya ni matokeo ya kuishi in a shithole country, why Halmashauri haijaweka alama za tahadhari hapo?,halafu vivuko hivi wenzetu wanavipunguza sana,hapo barabara au rail mojawapo ilitakiwa ichepushwe,na all Drivers PLS kwenye Rail crossing 🛤 YUO MUST STOP ,kuwe na train or not,Rail inatumika au haitumiki LAZIMA USIMAME.Sasa na wewe Ingia kwenye zoezi la kusaidia wahanga badala ya kuwa bize na mitandaoni.
Habari zitapatikana tu.
Kimsingi asilimia 75 ya ajali zinasababishwa na "human error" ikiwemo speed. Magari na vyombo vya moto kwa uhumla sasa yanakimbizwa sana. Watumiaji wa vyombo vya moto pia wengi hawajitambui. Hiki ndio chanzo cha ajali nyingi. Hizo Ally na Katarama huwa zinasifiwa kwa "over speeding" mitandaoni. Kama angekuwa anaendesha taratibu angeweza kucontrol gari na asingeigonga treni hata kama haikuwasha taa.Ajali zimegharimu sana maisha ya Watanzania wengi
Mchana hakuna ajali? Na je tangu safari za usiku zianze umesikia ajali ngapi?Safari za usiku bado sio salama sana.
Kwanini kitembee bila taa?...Kimsingi asilimia 75 ya ajali zinasababishwa na "human error" ikiwemo speed. Magari na vyombo vya moto kwa uhumla sasa yanakimbizwa sana. Watumiaji wa vyombo vya moto pia wengi hawajitambui. Hiki ndio chanzo cha ajali nyingi. Hizo Ally na Katarama huwa zinasifiwa kwa "over speeding" mitandaoni. Kama angekuwa anaendesha taratibu angeweza kucontrol gari na asingeigonga treni hata kama haikuwasha taa.
Umeeka link yako tuifate ili upate wateja wengi?
Andika habari... wengine hizo app ni marufuku kwenye electronic gadgets zetu!
Hatari sana, uzembe wa dereva kwa kutozingatia Sheria za Usalama Barabarani.Basi la kampuni ya Ally's T 178 DVB leo alfajiri limegonga treni na kupinduka eneo la Manyoni Singida majira ya 04:17:33 alfajiri, lilikuwa likitoka Dar kwenda Mwanza. Taarifa zaidi zitatolewa na wenye mamlaka
View attachment 2828215
View attachment 2828216