Basi kampuni ya Newforce limepata ajali Kitonga

Yaani unakuta basi lina overtake bila kuwa na uhakika kama kuna gari mbele linakuja tena hapo kitonga, hatari sana
 
Hawa jamaa wamezidi ,nahisi wamekosa mshauri hii kampuni inakula uhai wa watu kila siku..
 
WAmep
Wamepatwa na ajali ama wamepata ajali?

Wamepata ajali=walikuwa wanaitafuta na hatimaye wameipata.
 
Hii kampuni imefika mwisho wake katika ulimwengu wa roho ifungwe!
 
Mkuu unapataje faida kwenye comprehensive insurance?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…