bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Hawa ni wachina Sio waswahili,wapo maalumu kwa ajili ya mabus ya kampuni za China.Kafara kama zote tu, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅
Asee utajiri unatafutwa kwa shida na taabu sana
Yapo kampuni zaidi ya 20 watu wanafata uboraHivi hiyo njia hakuna mabasi mengine zaidi ya hayo,kwanini wasafiri wasiyasusie tu na kupanda kampuni nyingine mpaka watakapojirekebisha?watu wanakufa,watu wanapata vilema lakini wanaendelea kusafiri nayo,kutakuwa na shida mahali si bure...
Wamalila wa mbalizi hukoSidhani kama Sauli ni Wakinga. Sauli ni nyakyusa.
Rungwe express wako peace sana taratibu mnafikaKuna Bus sio za kupanda, hii ni moja wapo
Inafikirisha hawa macho ndogo wanabwaga gari wanaenda kukinga mpunga bima.ajali 12 ndani ya mwezi mmoja sio kitu cha kawaida
Hizo gari ni box tupu zikipigwa speed kuhama njia faster tu.Youtong, Zhongtong, sjui Nini zote ni gari zisizo na balance hasa ikiwa kwenye mwendo wa kasi zaidi,.
Mbna haya ya DR Msukuma huku Geita ndanindani hayapati ajali.
ni pawatila, boda imechomekewa tuBodaboda siyo zimechukua Mbunge wetu!
Viboko vipo South Sudan. Abiria na madereva wa mabasi ya Kampala-Juba wanachezea viboko mara kwa mara mkileta mzaha kwenye beria zaoHuwa natamani iwepo adhabu kwa abiria wasiochukua hatua yoyote waonapo uzembe wa madereva.
Hata viboko tu siyo mbaya maana unakutana na bus mpaka unajiuliza limebeba watu wazima au wafu?
MwendoKasi hauhitaji elimu wala seat ya mbele kujua tofauti na overtaking
Utoke mbeya saa 12 ufike moro saa 5? Inawezekana vipii?dah, itabidi niache kupanda new force[emoji28]
sema wako vizuri, mbeya-moro unapanda around saa 12, saa 5 umefika
Tobaaaaah mbna inaogopeshaaa sasa. LolHii imeungua Jana inaitwa MM8 ni Mbeya Dar na yenyeww
Unalinganisha balance ya body alizochonga machibya pale Nyamadoke na Yutong /Zhongtong?Youtong, Zhongtong, sjui Nini zote ni gari zisizo na balance hasa ikiwa kwenye mwendo wa kasi zaidi,.
Mbna haya ya DR Msukuma huku Geita ndanindani hayapati ajali.
New Force na Golden deer ni mtu m1, km Super feo na Selous.New force au golden? Inamaana kuna ajali mbili
mimi nimewahi😂 tulianza safari saa 12, kwenye saa sita kasoro niko moro, ila sio stendiUtoke mbeya saa 12 ufike moro saa 5? Inawezekana vipii?
Haiwezekani, Mbeya mtoke saa 12 hata aljazeera hamfiki saa 5. Acha fix wee khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi nimewahi[emoji23] tulianza safari saa 12, kwenye saa sita kasoro niko moro, ila sio stendi
sijui vituo hivyo bana😂 ila by saa 6 na nusu, dk 40 huko tukaingia stendiHaiwezekani, Mbeya mtoke saa 12 hata aljazeera hamfiki saa 5. Acha fix wee khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ruaha mbuyuni mlipita saa 4,? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km chizii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee labda unachangamsha kijiwe, haiwezekan Mbeya utoke saa 12 afu moro ufike 7, na Dar iliingia saa 11?sijui vituo hivyo bana[emoji23] ila by saa 6 na nusu, dk 40 huko tukaingia stendi
lunch walikula hapohapo msamvu ila mimi ndo nilishukia hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee labda unachangamsha kijiwe, haiwezekan Mbeya utoke saa 12 afu moro ufike 7, na Dar iliingia saa 11?
Nachekaa had machozii, gari za Mbeya Msamvu zinaingia kuanzia saa 10, gari za tunduma, sumbawanga, Songea zinaingia msamvu kuanzia 12 had 1.
Lunch mlikulaa wapii?? Ili nione km unacho sema ni kwelii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]