Basi kampuni ya Newforce limepata ajali Kitonga

Basi kampuni ya Newforce limepata ajali Kitonga

Kafara kama zote tu, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅

Asee utajiri unatafutwa kwa shida na taabu sana
Hawa ni wachina Sio waswahili,wapo maalumu kwa ajili ya mabus ya kampuni za China.
Sisi hata kuunda tu mabus hatuwezi
 
Hivi hiyo njia hakuna mabasi mengine zaidi ya hayo,kwanini wasafiri wasiyasusie tu na kupanda kampuni nyingine mpaka watakapojirekebisha?watu wanakufa,watu wanapata vilema lakini wanaendelea kusafiri nayo,kutakuwa na shida mahali si bure...
Yapo kampuni zaidi ya 20 watu wanafata ubora
 
Youtong, Zhongtong, sjui Nini zote ni gari zisizo na balance hasa ikiwa kwenye mwendo wa kasi zaidi,.
Mbna haya ya DR Msukuma huku Geita ndanindani hayapati ajali.
Hizo gari ni box tupu zikipigwa speed kuhama njia faster tu.
Huwezi kukuta hiyo kwenye marcopolo
 
Huwa natamani iwepo adhabu kwa abiria wasiochukua hatua yoyote waonapo uzembe wa madereva.

Hata viboko tu siyo mbaya maana unakutana na bus mpaka unajiuliza limebeba watu wazima au wafu?

MwendoKasi hauhitaji elimu wala seat ya mbele kujua tofauti na overtaking
Viboko vipo South Sudan. Abiria na madereva wa mabasi ya Kampala-Juba wanachezea viboko mara kwa mara mkileta mzaha kwenye beria zao
 
Mchina kafundishwa namna ya kubaki njiani mda mrefu, bas ndo anashusha tyuuh roho za watu khaaaah.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] apunguze spidii imetoshaa sasa.
 
mimi nimewahi[emoji23] tulianza safari saa 12, kwenye saa sita kasoro niko moro, ila sio stendi
Haiwezekani, Mbeya mtoke saa 12 hata aljazeera hamfiki saa 5. Acha fix wee khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ruaha mbuyuni mlipita saa 4,? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km chizii.
 
sijui vituo hivyo bana😂 ila by saa 6 na nusu, dk 40 huko tukaingia stendi
 
sijui vituo hivyo bana[emoji23] ila by saa 6 na nusu, dk 40 huko tukaingia stendi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee labda unachangamsha kijiwe, haiwezekan Mbeya utoke saa 12 afu moro ufike 7, na Dar iliingia saa 11?

Nachekaa had machozii, gari za Mbeya Msamvu zinaingia kuanzia saa 10, gari za tunduma, sumbawanga, Songea zinaingia msamvu kuanzia 12 had 1.

Lunch mlikulaa wapii?? Ili nione km unacho sema ni kwelii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
lunch walikula hapohapo msamvu ila mimi ndo nilishukia hapo
 
Back
Top Bottom