GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,007
- 5,290
Hata Abood jana namuona saa tatu anaingia na wala hatusikii mambo mengiRungwe express wako peace sana taratibu mnafika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Abood jana namuona saa tatu anaingia na wala hatusikii mambo mengiRungwe express wako peace sana taratibu mnafika
Iringa- Dar masaa 4-6 upo kitonga inawezekana kabisaDuuuuh saa nne yupo kitonga???, kwani alikuwa anatoka wapi kwenda wapi.
Kama ilianzia iringa hapo sawa.Iringa- Dar masaa 4-6 upo kitonga inawezekana kabisa
Hivi Msamvu ni jina la stendi tu au ni pamoja na eneo linalozunguka stendi? Kama ni pamoja na eneo linalozunguka stendi Kuna restaurant magari huwa yanapaki ili abiria wapate chakula. Ni adjacent Msamvu along Dodoma roadTena utuliee tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wazoefu wa hiyo njia tupoo.
Hivi Msamvu ni jina la stendi tu au ni pamoja na eneo linalozunguka stendi? Kama ni pamoja na eneo linalozunguka stendi Kuna restaurant magari huwa yanapaki ili abiria wapate chakula. Ni adjacent Msamvu along Dodoma road