Basi kampuni ya Newforce limepata ajali Kitonga

Tena utuliee tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wazoefu wa hiyo njia tupoo.
Hivi Msamvu ni jina la stendi tu au ni pamoja na eneo linalozunguka stendi? Kama ni pamoja na eneo linalozunguka stendi Kuna restaurant magari huwa yanapaki ili abiria wapate chakula. Ni adjacent Msamvu along Dodoma road
 
Iringa road
 
Washamba wa nyanda za juu kusini wanaosifia kukimbia Kwa mabasi Sasa wananyooshwa na ajali
 
Back
Top Bottom