Mbona hii habari hatujasikia popote? Wala hakuna mamlaka yeyote iliyotoa taarifa?Wana familia kama mna ndugu walikua wanasafiri kutoka South Africa na Bus la Mkombe Luxury please jaribuni kuwatafuta mana bus limepata ajali mbaya sana ya kugongana na Lori uso Kwa uso jana Serenje Zambia.. inasemekana idadi ya vifo imeongezeka
Mpaka apost Millard Ayo ndo uamini?Mbona hii habari hatujasikia popote? Wala hakuna mamlaka yeyote iliyotoa taarifa?
Subiri unayemtaka apost ndio uamini....Mbona hii habari hatujasikia popote? Wala hakuna mamlaka yeyote iliyotoa taarifa?
Taarifa Ipo JF Tangu Jana Punde Ilipotokea AjaliMbona hii habari hatujasikia popote? Wala hakuna mamlaka yeyote iliyotoa taarifa?
Unamaanisha kwamba aliyeleta hii habari humuamini?Mbona hii habari hatujasikia popote? Wala hakuna mamlaka yeyote iliyotoa taarifa?
Huna akili.Mbona hii habari hatujasikia popote? Wala hakuna mamlaka yeyote iliyotoa taarifa?
Nimeona hiyo ajari kuna mtu kanitumia video asee ni ajari mbaya sana. Upande wa dereva wote umeisha.Daah ajali ni mbaya aisee idadi ya waliofariki imeongezeka sana toka jana mpaka leo hakuna kauli yeyote kutoka kwa Balozi wa Tanzania aliepo Lusaka....
Ipo ndugu ni kati ya ajali mbaya sana kutokea bara barani kwa siku za karibuni. tumwombe Mungu atujaalie mwisho mwema.Mbona hii habari hatujasikia popote? Wala hakuna mamlaka yeyote iliyotoa taarifa?
Ni ajali mbaya sana majeruhi wengine wamebaki hospital ya Serenje wengine walihamishwa ambao hali zao zilikua sio nzuri ila sioni Viongozi wa Nchi waliopo Lusaka kutoa taarifa kwa ndugu waliopo Tanzania maana ajali ni mbaya sana..Nimeona hiyo ajari kuna mtu kanitumia video asee ni ajari mbaya sana. Upande wa dereva wote umeisha.
Wabongo ndio tatizo lao , hawazi km mleta mada yuko Zambia au ana source ZambiaMpaka apost Millard Ayo ndo uamini?
Serenje imenyooka kabisa ile Road imekuaje tenaNi ajali mbaya sana majeruhi wengine wamebaki hospital ya Serenje wengine walihamishwa ambao hali zao zilikua sio nzuri ila sioni Viongozi wa Nchi waliopo Lusaka kutoa taarifa kwa ndugu waliopo Tanzania maana ajali ni mbaya sana..
Jana kwa mujibu wa habari kutoka Zambia wamekufa watu32Tangu jana umekazana kusema "ajali mbaya sana, idadi ya vifo imeongezeka..." Lakin husemi hiyo idadi ni kiasi gani.
Huyu Hana akili, Jana usiku nimeongea Sana na mmiliki wa haya mabasi maana mpaka nikahisi ni ushirikina.Wabongo ndio tatizo lao , hawazi km mleta mada yuko Zambia au ana source Zambia
Mimi unaponiambia serenje nimeshtuka maana ile Road ni mkeka mtupuHuyu Hana akili, Jana usiku nimeongea Sana na mmiliki wa haya mabasi maana mpaka nikahisi ni ushirikina.