Basi la Mwendokasi limeua mtu Kariakoo, Dereva Bodaboda wamshambulia Dereva wa Mwendokasi

Ajali zote za mwendokasi nilizoshuhudia ni kama vile hao madereva wanakuwa wana dhamiria kuua kabisa maana huwa wanakimbia sana hata sehemu ambazo zinaonekana kuwa ni hatarishi......

Kipande cha kutoka gerezani mpaka kufika kituo cha fire huwa ni mshike......mwenda kwa miguu unakuwa macho juu kama nguchiro.....huku mwendokasi kule boda boda waliochanganyikiwa.......hujakaa Sawa umegongana na mmachinga........

Mimi nadhani kuanzia pale gerezani waweke vizuizi mpaka fire.....na pia kuanzia fire mpaka kivukoni waweke vizuizi.........
 
My condolences
n
 

Huyo mtu ndio amegonga gari ya mwendokasi, akafia hapo hapo. Kuna mada nyingine watazania ni ngumu kuelewa. Wanaleta ujuaji. Mtu anavuka barabara kama yuko kwenye corridor za nyumba yake. halafu hata nyumba hana, anaishi na baba mwenye nyumba
 
dere mwanamke aisee sijawahi kumwamin
 
Iwe barabara inapaswa kuwekewa kingo za kuta za chuma.. Inaingiliwa mno na wapita njia na sometimes bila tahadhari.. Na yule dada ni rough driver
Hapana nakupinga. Watu waheshimu sheria za barabara. Huwa najiuliza traffic hawaruhusiwi kuwakamata watembea kwa miguu wanaovunja sheria? Watembea kwa miguu nao wanavunja sheria mno. Huko Kkoo watu hawayaogopi magari kabisa.
 
Ila watu wa Dar mwaogopa mvua tu, Magari ahaaa, kwa huyu nina imani ni Bahati mbaya tu. Rest in peace Mtanzania mwenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…