Amani bm 150
JF-Expert Member
- Aug 29, 2019
- 315
- 488
Magari ya Mbeya City hayo. Mnyama Mkali [emoji2509][emoji2509][emoji2509].
High speed kills.
Bado Golden [emoji1662] Deer, a.k.a kamnyama .
Hii ndio maana halisi ya msemo ,UKICHEKA NA NYANI UTAVUNA MABUA,View attachment 1904363
Juzi tu hii gari ilikamatwa na Simbachawene. Leo imechochora View attachment 1904365
Wanabanwa na vile vituo vya ukaguzi. Juzi nimetoka Tunduma, tumefika Mikumi tukaweka kambi kwa kuwa basi lilikuwa limewahi sana. Mungu atunusuru 🙁Mabasi siku hizi hayafiki mapema, zamani ndinga zilikuwa zinatoboa Mbeya City kuanzia saa nane, Scandnavia na Embakassy ndiyo yalikuwa mwendo wa Kobe, yanaingia saa kumi na moja jioni
Sasa sijajua dereva alikua Tito mwenyewe au Nabii Tito alifungiwaHii ndio maana halisi ya msemo ,UKICHEKA NA NYANI UTAVUNA MABUA,
Hakuna madereva wazuri kama hawa wa magari ya mizigo ila hawa wa mabasi ya abiria ah utumbo sana..Hayo mabasi ya Sauli tatizo lake hayaheshimu watumiaji wengine wa barabara...yaani wanajiona wao ndio wao...wanafosi kupita pasipopitika, kuovateki sehemu zisizoruhusu kwa ubabe wakijua watapishwa tu...Naamini hapo dereva wa lori aliamua kukaza baada ya kuona dereva wa basi kafanya faulo ya kibabe...Na mara nyingi huwa hao sauli wanakuwa wameongozana mabasi mawili….hivyo kupata ajali lilikuwa ni jambo la muda tu na ni haki yao
Bado wataendelea tu,watakaa sawa siku wakimwagika kitonga pale..Huu upumbavu wao ulikuwa na mwisho, ilkuwa ni jambo la muda tuu
Ibamize kitonga na ilipuke kabisa nadhani Wanyakyusa akili zitakaa sawa..Inatakiwa tusikie wote wamekufa
😂😂😂 Mm sitaki kuwa shahidi kwenye huo mlipukoIbamize kitonga na ilipuke kabisa nadhani Wanyakyusa akili zitakaa sawa..
Njia ya Mbeya ina mambo sana,wao ndiyo waanzilishi wa zile hakuna kulala mnatembea usiku kwa usiku mkipigwa mkono mnadanganya mnasafirisha maiti mnaanza kulia kama msiba kweli..[emoji23][emoji23][emoji23] Mm sitaki kuwa shahidi kwenye huo mlipuko