Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Kwahiyo mil 1.8 unaiona kubwa??Fanya kazi acha kulalama,Mimi nimeanza kazi nalipwa 80,000 kama basic na take home 65 ,000,Leo hii basic salary ni 1.8M ,hata Mbuyu ulianza kama mchicha
Mkuu Kwangu nikubwa,unataka nitukuze mshahara wako wa 5M ambao haujawahi nunua kwenye familia yangu hata robo kilo ya unga!? Nawewe endelea kutukuza kipato chako,tusipangiane,wewe ulitaka nilipwe kiasi gani?Kwahiyo mil 1.8 unaiona kubwa??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwangu natumia luku za 400K kwa mwezi! Hii dunia hii, inasikitisha sanaKuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,
Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!
Hii ni kada gani hapa nchini?
View attachment 3196097
Nafikiria 350k mtu anaishije nauli humo humo, chakula, pango, vocha, dharura, michango, sadaka, watoto shule na bado mtu atataka maendeleo mengine kama kunua kiwanja, mashamba, kumiliki usafiri, kujenga, n,kmbona makato yake ni ya kawaida tu sema kilichomuua hapo ni huo mkopo wa NMB wanachukua laki 2 asingekuwa nao mkopo huo angechanganya na take home yake angekuwa na 350K makato himilivu kabisa
Hiyo 390,000 unakuta mwaka wa 5 hapo na imeongezeka 50,000 tuFanya kazi acha kulalama,Mimi nimeanza kazi nalipwa 80,000 kama basic na take home 65 ,000,Leo hii basic salary ni 1.8M ,hata Mbuyu ulianza kama mchicha
Najihisi kizunguzungu ,huyu bwana ni aina ya wale watumishi Wana kiatu kimeangalia pembeni ,kwa wanaohitaji niwasaidie kutaja kada gani hii zama PM niwambie huyu ni nani 😀😀
Wanaoona hiyo hela kubwa labda bado wanaishi kwa shemeji aliyeoa dada zao (na mizinga usikute anapigwa pia)Nafikiria 350k mtu anaishije nauli humo humo, chakula, pango, vocha, dharura, michango, sadaka, watoto shule na bado mtu atataka maendeleo mengine kama kunua kiwanja, mashamba, kumiliki usafiri, kujenga, n,k
Watu wamekaa miaka mitano hawajapanda madaraja wala kuongezewa mshahara anakuja mama anaongeza elfu 20 baada ya miaka mitanoHiyo 390,000 unakuta mwaka wa 5 hapo na imeongezeka 50,000 tu
Si hela ya NMB tayari anayo jamani kwani imeisha 😂Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,
Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!
Hii ni kada gani hapa nchini?
Hawana future na maisha wanaishi kula kulalaWanaoona hiyo hela kubwa labda bado wanaishi kwa shemeji aliyeoa dada zao (na mizinga usikute anapigwa pia)
Mkuu naomba usiihusishe bangi na mambo ya kijinga huyu ana matatizo yake binafsiWakati wewe unaanza kazi thaman ya dola ilikuwa 2500? Au bangi zinakusumbua? Maisha yamebadilika.
Usisahau kakopa million 9 kanunua gari ya million 4 anavimba mjini, million 5 kafungulia biashara ya mpesa anaishi mjiniDuh... siamini aisee, basic salary?
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,
Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!
Hii ni kada gani hapa nchini?
View attachment 3196097
Huyu analipwa 348k, hio 133k ni Baki ya akiba yake ya badae ashaichukuaInasikitisha sana
Nafikiri kwenye mada haijatajwa kada yoyote ya mtumishi wa umma.Usisahau kakopa million 9 kanunua gari ya million 4 anavimba mjini, million 5 kafungulia biashara ya mpesa anaishi mjini
Kuna sehemu niliona watu wanashangaa mwalimu kanunua gari? Nikasema nyinyi hamjui yule mwalimu alichokifanya