Arusha zaidi ya utalii na makonda mna nn cha ziada wadudu nyieArusha iizidi mwanza kwa jambo gani?.ukitoka arusha mjini kwenda kwa morombo umeimaliza,ukitoka Arusha mjini kwenda Tanapa pale majengo umeimaliza,ukitoka arusha mjini kwenda Tengeru umeimaliza,kule muriet ni kama uko vijijini kabisa,acheni Rock City kuilinganisha na walima bangi wa Arumeru nyie
Kidubwana tu hakina maajabu
Pole sana Kwa maumivu,hiki ni nini? πArusha zaidi ya utalii na makonda mna nn cha ziada wadudu nyie
Kidubwana Cha Mwanza Kiko wapi? ππKidubwana tu hakina maajabu
Kipo ndo maana hatukipapatikiiKidubwana Cha Mwanza Kiko wapi? ππ
Kumbe hata pwani ni bora kuliko arusha na mwanza okPole sana Kwa maumivu,hiki ni nini? π
View: https://x.com/InvestTanzania/status/1876523702411809041?t=zfxKAqX_fhMlzsOZXi-7Sg&s=19
Kumbe hata pwani ni bora kuliko arusha na mwanza ok
ππ Bado hujasema π πKipo ndo maana hatukipapatikii
Bado sana ningesema ingekua msalatoππ Bado hujasema π π
View: https://www.instagram.com/p/DEmmPU_NwTl/?igsh=YmVuZXl5bmU5bXp1
Nchi hii imezalisha mabumunda mengi sana baada ya uhuru. Uwepo wa miradi na ukubwa na ubora wa mji Kuna uhusiano gani? Unaambiwa hiyo miradi ya kiuwekezaji inayotekelezwa Kwa Mwaka 2024. Haina maana basi Pwani ni kubwa kuliko Arusha au kuliko Mwanza. Pwani kwanza haina hata mji wenye hadi ya Manispaa.Kumbe hata pwani ni bora kuliko arusha na mwanza ok
Povu za kutoka Mwanza is Slum π€£π€£Nchi hii imezalisha mabumunda mengi sana baada ya uhuru. Uwepo wa miradi na ukubwa na ubora wa mji Kuna uhusiano gani? Unaambiwa hiyo miradi ya kiuwekezaji inayotekelezwa Kwa Mwaka 2024. Haina maana basi Pwani ni kubwa kuliko Arusha au kuliko Mwanza. Pwani kwanza haina hata mji wenye hadi ya Manispaa.
Bora umweleweshe maana hana anachojuaNchi hii imezalisha mabumunda mengi sana baada ya uhuru. Uwepo wa miradi na ukubwa na ubora wa mji Kuna uhusiano gani? Unaambiwa hiyo miradi ya kiuwekezaji inayotekelezwa Kwa Mwaka 2024. Haina maana basi Pwani ni kubwa kuliko Arusha au kuliko Mwanza. Pwani kwanza haina hata mji wenye hadi ya Manispaa.
Watu wa Mwanza is Slum mnamwaga povu sana ππNchi hii imezalisha mabumunda mengi sana baada ya uhuru. Uwepo wa miradi na ukubwa na ubora wa mji Kuna uhusiano gani? Unaambiwa hiyo miradi ya kiuwekezaji inayotekelezwa Kwa Mwaka 2024. Haina maana basi Pwani ni kubwa kuliko Arusha au kuliko Mwanza. Pwani kwanza haina hata mji wenye hadi ya Manispaa.
10 floors Arusha City HQ under construction ππBora umweleweshe maana hana anachojua
Unapenda uongo uongo sana! Floor 7 tu hilo jengo!10 floors Arusha City HQ under construction ππ
View: https://youtu.be/XrM887Pr0VU?si=ibbu89F6aQa4uOiiView attachment 3197631View attachment 3197632
Mwanza itaendelea kuwa underdog Kwa Arusha forever
View: https://youtu.be/faTht008Gbo?si=bn64VPy72I6MCiVw
Gorofa Ina Basement harafu unaongea pumba hapa ,Mwanza is stagnant na HQ Yao ni kama Nyumba ya kufichia wakimbizi ππUnapenda uongo uongo sana! Floor 7 tu hilo jengo!
Mwanza kwa akili yako imesimama!
Wewe pambania Mbeya kwenye Kijiji kikubwa Mwanza ni one man show chuga mwache aendee kubebwa!
Kwa akili yako unafikiri Mwanza huwa imeganda tu hakuna kinachoendelea kwa kifupi tu Tanzania ya sasa sio ile ya zamani kila mkoa upo moto kwa nafasi yake maendeleo yapo mpaka vijijini huko kuishi kwako Arusha ukaona vimiladi hivyo sio kwamba mikoa mingine imelala na hakuna kinachofanyika. Sema tu ni vile mwanza haina chizi mapicha na wapiga kelele ambao hata ujenzi wa vyoo tu kwao ni habari10 floors Arusha City HQ under construction ππ
View: https://youtu.be/XrM887Pr0VU?si=ibbu89F6aQa4uOiiView attachment 3197631View attachment 3197632
Mwanza itaendelea kuwa underdog Kwa Arusha forever
View: https://youtu.be/faTht008Gbo?si=bn64VPy72I6MCiVw
Takwimu za uwekezaji hazikufanyi uwe mji mkubwa yawezakua huo uwekezaji unaofanywa kwako wenzio walishafanya siku nyingi na wanaendelea na mambo mengine ndo maana pwani uwekezaji ni mkubwa kuliko mbeya ila aiondoi ukweli mbeya ipo mbali zaidi ya pwaniWatu wa Mwanza is Slum mnamwaga povu sana ππ
Hakuna kitu Mwanza inazidi Arusha.
Kuhusu takwimu za uwekezaji ni kwamba inatafsiri ukuaji ambao hapo baadae utakuja kuzidi hiyo Mikoa kama trend itaendelea hivyo hivyo walau Kwa miaka 10 zaidi.
Kinachokufanya uwe Mji au Mkoa mkubwa kiuchumi ni nini kama sio contimous high investments over time?Takwimu za uwekezaji hazikufanyi uwe mji mkubwa yawezakua huo uwekezaji unaofanywa kwako wenzio walishafanya siku nyingi na wanaendelea na mambo mengine ndo maana pwani uwekezaji ni mkubwa kuliko mbeya ila aiondoi ukweli mbeya ipo mbali zaidi ya pwani
π¨π¨π¨ππππ Mwanza ni dormant inasubiria huruma ya serikali ππKwa akili yako unafikiri Mwanza huwa imeganda tu hakuna kinachoendelea kwa kifupi tu Tanzania ya sasa sio ile ya zamani kila mkoa upo moto kwa nafasi yake maendeleo yapo mpaka vijijini huko kuishi kwako Arusha ukaona vimiladi hivyo sio kwamba mikoa mingine imelala na hakuna kinachofanyika. Sema tu ni vile mwanza haina chizi mapicha na wapiga kelele ambao hata ujenzi wa vyoo tu kwao ni habari
Kwa iyo wakijenga viwanda vikubwa ndo vitabomoa vilivyopo mwanza? Mwanza hakuna kiwanda cha saruji ila kuna viwanda vikubwa tu na vinafanya vizuri kuna viwanda vingi tu vinajengwa tembea usisubili kuadithiwa huku hakuna mbeleko ya serikali na maisha yanasonga kwa kasi ya ajabuπ¨π¨π¨ππππ Mwanza ni dormant inasubiria huruma ya serikali ππ
Kila Mkoa kuendelea haiondoi ukweli kwamba Kasi ya Maendeleo inatofautiaja,mfano Kigoma,Tanga na Mbeya kunajengwa viwanda vikubwa vya saruji ,Mwanza hakuna .
Mwisho Arusha itawatimulia sana vumbi nyie Jamaa
View: https://www.instagram.com/p/DEp3WoNt30X/?igsh=MThoZWNqbjE5NTAwdQ==