Arusha zaidi ya utalii na makonda mna nn cha ziada wadudu nyieArusha iizidi mwanza kwa jambo gani?.ukitoka arusha mjini kwenda kwa morombo umeimaliza,ukitoka Arusha mjini kwenda Tanapa pale majengo umeimaliza,ukitoka arusha mjini kwenda Tengeru umeimaliza,kule muriet ni kama uko vijijini kabisa,acheni Rock City kuilinganisha na walima bangi wa Arumeru nyie