Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Arusha iizidi mwanza kwa jambo gani?.ukitoka arusha mjini kwenda kwa morombo umeimaliza,ukitoka Arusha mjini kwenda Tanapa pale majengo umeimaliza,ukitoka arusha mjini kwenda Tengeru umeimaliza,kule muriet ni kama uko vijijini kabisa,acheni Rock City kuilinganisha na walima bangi wa Arumeru nyie
Arusha zaidi ya utalii na makonda mna nn cha ziada wadudu nyie
 
Kumbe hata pwani ni bora kuliko arusha na mwanza ok
Nchi hii imezalisha mabumunda mengi sana baada ya uhuru. Uwepo wa miradi na ukubwa na ubora wa mji Kuna uhusiano gani? Unaambiwa hiyo miradi ya kiuwekezaji inayotekelezwa Kwa Mwaka 2024. Haina maana basi Pwani ni kubwa kuliko Arusha au kuliko Mwanza. Pwani kwanza haina hata mji wenye hadi ya Manispaa.
 
Povu za kutoka Mwanza is Slum 🤣🤣
 
Nchi hii imezalisha mabumunda mengi sana baada ya uhuru. Uwepo wa miradi na ukubwa na ubora wa mji Kuna uhusiano gani? Unaambiwa hiyo miradi ya kiuwekezaji inayotekelezwa Kwa Mwaka 2024. Haina maana basi Pwani ni kubwa kuliko Arusha au kuliko Mwanza. Pwani kwanza haina hata mji wenye hadi ya Manispaa.
Bora umweleweshe maana hana anachojua
 
Watu wa Mwanza is Slum mnamwaga povu sana 😆😆

Hakuna kitu Mwanza inazidi Arusha.

Kuhusu takwimu za uwekezaji ni kwamba inatafsiri ukuaji ambao hapo baadae utakuja kuzidi hiyo Mikoa kama trend itaendelea hivyo hivyo walau Kwa miaka 10 zaidi.
 
Bora umweleweshe maana hana anachojua
10 floors Arusha City HQ under construction 👇👇

View: https://youtu.be/XrM887Pr0VU?si=ibbu89F6aQa4uOii
Screenshot_20250110-170829.jpg
Screenshot_20250110-170803.jpg

Mwanza itaendelea kuwa underdog Kwa Arusha forever

View: https://youtu.be/faTht008Gbo?si=bn64VPy72I6MCiVw
 
Unapenda uongo uongo sana! Floor 7 tu hilo jengo!
Mwanza kwa akili yako imesimama!
Wewe pambania Mbeya kwenye Kijiji kikubwa Mwanza ni one man show chuga mwache aendee kubebwa!
Gorofa Ina Basement harafu unaongea pumba hapa ,Mwanza is stagnant na HQ Yao ni kama Nyumba ya kufichia wakimbizi 😂😂

Mwanza haitakuja kuikaribia Arusha,size ya Mwanza ni Mbeya nayo inawakanyaga kwenye Mapato
Screenshot_20250110-115838.jpg
 
Kwa akili yako unafikiri Mwanza huwa imeganda tu hakuna kinachoendelea kwa kifupi tu Tanzania ya sasa sio ile ya zamani kila mkoa upo moto kwa nafasi yake maendeleo yapo mpaka vijijini huko kuishi kwako Arusha ukaona vimiladi hivyo sio kwamba mikoa mingine imelala na hakuna kinachofanyika. Sema tu ni vile mwanza haina chizi mapicha na wapiga kelele ambao hata ujenzi wa vyoo tu kwao ni habari
 
Watu wa Mwanza is Slum mnamwaga povu sana 😆😆

Hakuna kitu Mwanza inazidi Arusha.

Kuhusu takwimu za uwekezaji ni kwamba inatafsiri ukuaji ambao hapo baadae utakuja kuzidi hiyo Mikoa kama trend itaendelea hivyo hivyo walau Kwa miaka 10 zaidi.
Takwimu za uwekezaji hazikufanyi uwe mji mkubwa yawezakua huo uwekezaji unaofanywa kwako wenzio walishafanya siku nyingi na wanaendelea na mambo mengine ndo maana pwani uwekezaji ni mkubwa kuliko mbeya ila aiondoi ukweli mbeya ipo mbali zaidi ya pwani
 
Kinachokufanya uwe Mji au Mkoa mkubwa kiuchumi ni nini kama sio contimous high investments over time?

Kufanya siku nyingi ni Lugha za kujifariji,mfano Kwa Sasa Mkoa wa Pwani unaongoza Kwa viwanda Tanzania na kabla ya hapo haikuwa hivyo.

On top of that Pwani ilikuwa kwenye list ya Mikoa 5 maskini zaidi Tanzania in terms of GDP lakini saizi haipo,hii manake ni faida za uwekezaji,the same to Dodoma.

Kwa miaka 10 ijayo kama Kasi ya Pwani itaendelea kuwa hii hii basi itakuwa miongoni mwa Mikoa 10 yenye GDP kubwa ukiondoa kwenye List Ruvuma,Geita,Geita nk

Na Kwa taarifa yenu tuu Tanga na Mbeya itakuja ku claim second spot after Dar in case of this development pase na kuishusha Mwanza maana huko Mwanza hakuna mradi wowote wa thamani kubwa zaidi ya tumajengo.
 
Kwa akili yako unafikiri Mwanza huwa imeganda tu hakuna kinachoendelea kwa kifupi tu Tanzania ya sasa sio ile ya zamani kila mkoa upo moto kwa nafasi yake maendeleo yapo mpaka vijijini huko kuishi kwako Arusha ukaona vimiladi hivyo sio kwamba mikoa mingine imelala na hakuna kinachofanyika. Sema tu ni vile mwanza haina chizi mapicha na wapiga kelele ambao hata ujenzi wa vyoo tu kwao ni habari
🔨🔨🔨💉💉😁😁 Mwanza ni dormant inasubiria huruma ya serikali 😆😆

Kila Mkoa kuendelea haiondoi ukweli kwamba Kasi ya Maendeleo inatofautiaja,mfano Kigoma,Tanga na Mbeya kunajengwa viwanda vikubwa vya saruji ,Mwanza hakuna .

Mwisho Arusha itawatimulia sana vumbi nyie Jamaa

View: https://www.instagram.com/p/DEp3WoNt30X/?igsh=MThoZWNqbjE5NTAwdQ==
 
Kwa iyo wakijenga viwanda vikubwa ndo vitabomoa vilivyopo mwanza? Mwanza hakuna kiwanda cha saruji ila kuna viwanda vikubwa tu na vinafanya vizuri kuna viwanda vingi tu vinajengwa tembea usisubili kuadithiwa huku hakuna mbeleko ya serikali na maisha yanasonga kwa kasi ya ajabu
 
Back
Top Bottom