Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mwanza ya pili kimapato ya nchi nyuma ya Dar.Arusha corona imewakalisha uko,tyr washatubu kesi imeisha.
Mwanza sasa wamalizie tu sgr inayoanzia Issaka na ilo daraja la busisi na izo fly over tatu ili Arusha izikwe rasmi.

The Rock City Mwanza.
 

Ila Babu we ni wakuja sana . Unatuma ma graphic humu kama reasoning yako.

Nimefanya kazi Arusha zaidi ya miaka 7 , Nimefanya kazi Mwanza for 4 years . Huna cha kuniambia kwenye hii miji, Jina la Arusha limekuwa kwa Sababu moja tu ; UTALII.

Ukitoa Utalii Arusha ni Empty . Wewe unatuma Graphics , Mimi Arusha nimeikaa physically miaka nenda Rudi .

Mwanza ni mji mkubwa na unamaendeleo makubwa kulinganisha na Arusha, Mwanza kuna Investiment nyingi ambazo Arusha haziwezi kuwepo .

Mimi nawashanga sana nyie kulinganisha Mwanza na Arusha , unaanzaje kwa mfano .


Kama kweli Umeishi Mwanza Physically , Ukaishi Arusha physically , kamwe huwezi linganisha hii miji.

Kwa mfano hata Arusha tu , ni Biashara gani ya maana unaweza fanya zaidi ya pombe na bar ? Labda na Bangi inaweza kukulipa.

Size na Maendeleo ya Arusha ni DODOMA na Mbeya. Mwekezaji yoyote wa maana ukimpa opportunity ya uwekezaji kati ya Arusha na Mwanza , ataenda Mwanza .

And I am sure hujawahi kufika Mwanza , na kama umefika Mwanza basi uliishia KITUONI .
 
Alaa kwa hiyo wewe tuu ndio umefanya Kazi hapo Arusha? Hayo maendeleo makubwa yako wapi?

Kupiga domo mko vizuri sana ila sasa ukiambiwa onyesha hayo maendeleo unapotea..

Hiyo Arusha ni zaidi ya Utalii,kuna viwanda hadi vya kutengeneza transformers,kitovu cha mbegu na utafiti wa teknolojia za kisasa za kilimo,taasisi za elimu nk.

Ukikuta vitu kama hivi hapa huko Mwanza ni tag



































 
sikweli.....Mwanza ndio mji wa pili kitakwimu kwenye pato la taifa....tena inatofautiana 2% na jiji la Dar ..... ki ukweli kabisa Arusha itasubir sana kwa The Rock City
eti uyu ndio mtoa mada alafu yeye mwenyewe mshabiki😃😃
yani dar iizidi mwanza kwa asilimia 2😢
 
washamba sana hawa jamaa wanakuambia Arusha ni utalii tu hawajui ni makao makuu ya eac na tanapa
vyuo vya kimataifa kama Nelson Mandela na esami
Arusha kuna viwanda hadi vya kuassemble magari wao wamekalia tu uko ziwani na umaskini wao kutwa kujilinganisha na Arusha😢
Nimecheka kumbe mtoa mada ni mtu wa mwanza anaitwa cleokippo kumbe kafungua thread ili ajifariji maskini😂😂
alafu na uzwazwa wake badala asikilize hoja anajibu kwa ushabiki tena wa ziwani fool😎
 
Tafuta wajinga wa uchagni ndo uwadanganye ivyo makao makuu ya EAC husika na nnbona Dodoma ni ya nchi ila ni ovyo kifupi ni kamji ambacho wenyeji wanadanganywa wanajua kumbe hamna kitu stendi tu hamna mna airport ya kuizidi ya mwanza

Town hapo watu wanazurura kama majizi manguo makubwa machafu tena ya mitumba mji gani wa ovyo huko vijijini ndo kabisa
 
Akili huna kagoogle za mwanza ebu angalia ile malaika tu pale mwanza 😂😂😂we kichaa kuna nn cha maana unarudia majengo yale yale
 
Ukavae mitumb na matakataka ya kuvaliana nguo oversize njaa kali
 
captain mimi siongei kishabiki na wala sio mtu wa mwanza, mi kwetu mbeya na naishi mbeya....sema mwanza imeitangulia Arusha kwa miaka isiyopungua mitano kutangazwa kuwa jiji. mwanza imetangazwa kuwa jiji 2000 wakati Arusha 2006 kimsingi ilishaipiga gape miaka mingi tu, pia mwanza nimeiona haina tofauti kubwa sana na Dar ki ukwel kabisa mwanza ni mjin tukiachilia mbali ushabiki....vyuo hata mwanza vipo, miundo mbinu ya barabara, majengo marefu, huduma za usafir majin na nchi kavu nk ....mwanza mjin sana
 
Akili huna kagoogle za mwanza ebu angalia ile malaika tu pale mwanza 😂😂😂we kichaa kuna nn cha maana unarudia majengo yale yale
We kweli pimbi,hivi hiyo fishing city inaweza kulingana na Arusha kweli?

Ni google ,weka hapa we kiazi..Ukipata jengo kama hili hapo Jiji la wavuvi ni tag

 
Kule kumejaa maskini na uswazi hawana cha kuonyesha.

Mwanza size yao ni Mbeya tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…