Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Wewe ni kituko,huwezi weka ushahidi unaleta porojo.Kutangulia kwa watu wengi sawa ila kutangulia kwingine ni kupi labda?
 

Ni ubishi wako tu , ila Mtu yoyote mwenye Akili ,Arusha hakuna chochote cha Maana , na hakuna unachoweza kufanya kikakulipa. Labda pombe na Bangi .

Kufananisha Arusha na Mwanza ni sawa na wale wanaolazimisha kufananisha Diamond na Kiba

Endelea kuamini katika ujinga wako

Kila la heri
 
Mjadala uishi hapa
SOURCE-Wikipedia

View attachment 2057734
kwani mada inaongelea mji gani wenye idadi kubwa ya watu???
manake kama ni watu dar ina population kuliko los angles kinshasa ina watu wengi kuliko london
je repute yake ikoje
mwanza inachoizidi Arusha ni wingi wankuzaliana tu mkuu😂😂
tena population yake haiko diverse inazidiwa foreign community hata na moshi😢
 
Wewe huna cha kuonyesha unapigwa za uso..Nimeisha Arusha na Mwanza najua kila kitu sio ishu ya kuamini ni ishu facts zilizopo.

Mumepigwa na Arusha kuanzia majengo, viwanda hadi miundombinu ya barabara,na wewe unajua ila muamba ngoma 😁😁
 

Mjomba unatumia nguvu sana duh , ww utakuwa na fantasy , yaani unabisha bisha bila uhalisia. Arusha na Mwqnza zote ni Tanzania , nimekusoma kama vile utetezi wako ni wa kikabila na sio analysisi , ndio maana unatuma tuma mapicha mengi na akili yako umeifunga kama sandwich [emoji3053], huruhusu kitu kipya kiingie? I am doubting pia elimu yako. Unatumia nguvu sana but it is simple there is no way ukaifananisha mwanza Na Arusha , sitokei mwanza wala Arusha , Bali nimeishi mikoa yote hiyo , Arusha hakuna Ishu yoyote na wala it is not good place for investment as compared to mwanza.

Hoja zako ni za kipuuzi , eti kuna ofisi kubwa, sijui magari yanakuwa assembled sijui nini , ndio nini sasa , hata Rwanda ina assemble magari , je unawezaa kuilinganisha na TZ ? Tumia akili yako kwa kufikiri na uache ushabiki wa kipogolo.
 
maana ya kuleta mada ni nini kama mwanza imeizidi arusha kila kitu????
kutangazwa kuwa jiji mostly ni ishu ya population mbona hata mbeya na tanga zimetangulia kuwa jiji kabla ya Arusha ambayo kimsingi huangaliwa kwa mipaka ya jiji Arusha ilikua na ukubwa wa sqkm 93 tu kwenye sensa ya mwaka 2012 wakati mwanza sensa ilihesabu ukubwa wa kmsq 422 ukijumlisha nyamagana na ilemela yote
hadi Arusha walipoongeza eneo ndio wakaruhusiwa kuwa jiji
so pokea comments za kuhusu hayo uliyoyaeleza uone nan zaidi
 
mbona povu kubwa hivo😂😂
unavoskia makao makuu ya eac sio tu ofisi ngosha unaongelea bunge la afrika mashariki na wabunge wao wote wanalala Arusha , unaongelea mahakama ,unaongelea sekretariet yote kuna staff zaidi ya 2000 na bado wana plans za kujenga nyumba za watumishi and you still call that hoja ya kipuuzi hivi wewe unajielewa kwanza 😢
 
Sasa Cleokippo ndugu yangu nlitaka nisiongeze neno lolote kwa majibu ya bwana mdazi
sasa hebu tuanze kushindanisha vyuo hivyo unavovisema na arusha
Nitajie majengo hayo marefu kwa uelewa wangu tu mwanza haina hata majengo kumi ya 10+ floors Arusha yako zaidi ya 20 na bado yanajengwa
kwa miundombinu na huduma za kijamii ndio usiseme Arusha ndio inaongoza kwa international schools barabara za kutoka mjini zaidi ya 4 mji wa kwanza kuwa na bypass mradi wa maji mkubwa na sewage system mji mzima mwanza mtaendelea kunywa maji meusi na ziwa mnalo hilo apo
 
can i know how did you capture these
 
kupata jibu sahihi la kuishindanisha miji hii sio kitu rahis na sidhan kama mshindi atapatikana maana mpaka hivi sasa hakuna aliyeweza kuibuka na ushindi na mimi nilitegemea members wa jamiiforum ndio wangeweza kuamua
 
ngoja tuweke na mandhari ya mwanza kidogo muone moto wake .....maana kila mtu analalamika kwamba mwanza hawaweki vielelezo
 
captain ingia youtube kisha type mandhari ya jiji la mwanza kisha angalia balaa la mji wa hao wanaoitwa washamba.....kisha ingia tena youtube andika mandhari ya jiji la arusha uone pia hao wanaoitwa wajanja ...ukipata jibu uje na mrejesho umu jukwaan maana mimi video zote za Arusha na Mwanza ninazo ila nikitaka ku attach naambiwa file ni kubwa sana hivyo simu yangu haina uwezo wa ku upload lile file....ila kupitia video hz Mwanza mjin kwakwel
 
Hakuna kitu hapo,wakishaweka kale kajengo ka nssf,ppf basi nothing else..

Arusha baby 👇





















 
Wewe unaongelea Mwanza ya wapi shekhe? Nimecheka sana comment yako...ni uchafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…