shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,150
Najaribu kukuelewa ila nashindwa dah.Kutoka Geita adi mwanza bila daraja ni mwendo wa masaa mangapi? Kutoka mwanza mjini adi bukoba bila daraja ni mwendo wa masaa mangapi? Umuhimu wa daraja apo uko wapi? Mwendazake alitumia utashi wake tu maana alikuwa hashauriki.
Kutoka mwanza to geita ni almost masaa matano bila daraja,daraja likikamilika ni masaa chini ya matatu.
Tofauti ni masaa mawili unajua impact ya muda kweny uchumi?
Nenda kasome
Time Allocation in Economics and the
Implications for Economic Development
Author: Nicoleta CARAGEA