Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kutoka Geita adi mwanza bila daraja ni mwendo wa masaa mangapi? Kutoka mwanza mjini adi bukoba bila daraja ni mwendo wa masaa mangapi? Umuhimu wa daraja apo uko wapi? Mwendazake alitumia utashi wake tu maana alikuwa hashauriki.
Najaribu kukuelewa ila nashindwa dah.

Kutoka mwanza to geita ni almost masaa matano bila daraja,daraja likikamilika ni masaa chini ya matatu.
Tofauti ni masaa mawili unajua impact ya muda kweny uchumi?

Nenda kasome

Time Allocation in Economics and the
Implications for Economic Development

Author: Nicoleta CARAGEA
 
He he he mpaka umeamua kuimba kabisa na taarabu hapo mwisho.Btw hebu jifunze matumizi ya herufi h ,hatuandiki 'ata' inaandikwa 'hata' , Alafu ni halafu,ntapiga ni nitapiga [emoji3][emoji3]
Atuandiki sio hatuandiki. Mwanza mna nini nyie washamba by nature?! 🤣
 
The CASK
Mambo huwa hivi
311509597_141177195309511_5596663306605463020_n.jpg
310549603_135370152583811_8476604539588341350_n.jpg
311663716_472347151339106_1458422078943611596_n.jpg
311435339_1162084154384146_5575639788721189246_n.jpg
 
Lile daraja ni upumbavu wa lile jitu mwendazake na ukabila wake kupendelea kwao na kuacha sehemu zenye kuleta maendeleo kama kaskazini. Unajua ukiitenga Arusha umemtenga Mungu, ndio maana Samia anapambana kuakikisha hii kanda ya kaskazini inapewa kipaumbele cha kutosha maana ndipo roho ya nchi ilipo. Tukubali tu kuwa hili taifa bila Arusha ni sawa na mwili bila kichwa. Ukitaka kuamini chukua Arusha peleka apo Rwanda au apo Kenya tu uone nchi itakavyotumbukia kwenye umasikini kuliko huu uliopo sasa.

Mfano hai mmoja tu ni kwamba mweiz machi wachina watakuja kurekodi movie maalumu ya maadhimisho ya miaka 60 ya madakitari wa kichina barani Africa. Tukio hilo litafanyikia Arusha ikiwa eneo maalum kimkakati na kibiashara. Movie iyo itarushwa live kwenye television ya kichina ambapo zaidi ya watu billion+ wanatarajiwa kuiona.

Imagine raia Billion moja wanaitizama Arusha 😀😀😀😀

Je wakati huo shamba city muko wapi? Apa sijaandika kwa lengo la kuwabeza., bali kuwaonesha ukubwa wa jiji kama A Town.

Arusha to the World 🌎 I🌎🌎
Hata mpewe kipau nyuma hamuwezi kuifikia mwanza, never ever. Na usifikiri ukimtaja mwendazake utatunyong'onyesha sahau Hilo maana tunajua fika haitakuja kutokea Kanda yenu mkatoa Rais. Lakini pia nakushauri punguza habari za ukanda na ukabila ongelea MWANZA vs ARUSHA.
 
Aliiba

nini? Mwanza maji safi tu ni tatizo wakati muna Lake Victoria, vyoo bado ni tatizo watu wanaenda kuny@ ziwani..mumebaki kuzaliana tu ndio maana munageuzwa wapiga kura kila mwanasiasa mgombeya uraisi anakimbilia uko maana anauhakika wa kupata kura lakini maendeleo sifuri
Hawa jamaa huwaambii kitu kuhusu dagaa na ugali
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.48-PM-615x410.jpg

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Lile daraja ni upumbavu wa lile jitu mwendazake na ukabila wake kupendelea kwao na kuacha sehemu zenye kuleta maendeleo kama kaskazini. Unajua ukiitenga Arusha umemtenga Mungu, ndio maana Samia anapambana kuakikisha hii kanda ya kaskazini inapewa kipaumbele cha kutosha maana ndipo roho ya nchi ilipo. Tukubali tu kuwa hili taifa bila Arusha ni sawa na mwili bila kichwa. Ukitaka kuamini chukua Arusha peleka apo Rwanda au apo Kenya tu uone nchi itakavyotumbukia kwenye umasikini kuliko huu uliopo sasa.

Mfano hai mmoja tu ni kwamba mweiz machi wachina watakuja kurekodi movie maalumu ya maadhimisho ya miaka 60 ya madakitari wa kichina barani Africa. Tukio hilo litafanyikia Arusha ikiwa eneo maalum kimkakati na kibiashara. Movie iyo itarushwa live kwenye television ya kichina ambapo zaidi ya watu billion+ wanatarajiwa kuiona.

Imagine raia Billion moja wanaitizama Arusha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Je wakati huo shamba city muko wapi? Apa sijaandika kwa lengo la kuwabeza., bali kuwaonesha ukubwa wa jiji kama A Town.

Arusha to the World [emoji289] I[emoji289][emoji289]
Comment hii imeamdikwa na mtu mwenye akili za bangi,mirungi na pombe ya banana,vyote vikiwa kichwani.Daraja la Kingogo-Busisi litawatoeni bandama kwa makasiriko na Mama Samia anapeleka pesa kama kawaida na 2024 tutaanza kulitumia rasmi.
 
Kwaiyo gari kwako ndio maendeleo?! Kweli shamba city munazingua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vipi kuhusu maisha ya mutu mmoja mmoja mbona umasikini umewajaa pamoja na was lile jitu mwendazake kuwapendelea?
Chuga boy gani wewe unaandika kama umetokea Burundi? 'Mutu' ,kwaiyo'.Hiki kiswahili utakikuta Burundi,Rwanda na DRC.Unatokea wapi katika hizo nchi tatu?
 
Umesahau ukanda aliofanya lile jitu mwendazake? Kuteketeza pesa za serikali kwa kujenga kiwanja cha ndege kisicho na faida yeyote kwa ninyi wafugaji masikini wa uko shamba city
Halafu unaweza ujinga? Kutangaza vivutio vya utalii ni ujinga? Kweli wasukuma munatabu sana ushamba mzigo sana
'munatabu'.Hebu tueleze kwanza wewe ni wa Burundi,Rwanda au DRC?
 
Kama sio ushabiki, lile daraja huwezi kuliita upumbavu.

Shida ni kwamba hamtembei, muuza matunda utajuaje umuhimu wa miuondombinu mbalimbali nchini?

Mkiuza matunda huko Chuga mnaona hakuna umuhimu wa mengine kufanyika.
Na wakati huo huo kwa ubinafsi walio nao,wamekaa kimya na wanaona wao wanastahili sana kujengewa daraja la mto Wami la kuwapeleka huko kwao lakini Daraja la Busisi hapana .Hawa watu katika kiwango cha ubinafsi hakuna mtu anawafikia.
 
Unuhimu wake ni upi kama siyo ukabila ndio uliwekwa mbele zaid na yule mwandazake?! Maana jamaa lilitaka kufanya kanda ya ziwa kama dubai vile wakati watu wake ni masikini wa kutupa. Lile daraja ni moja ya miradi ya kikumbavu aliyofanya lile jitu. Bora limelala kuzimu
Ushapagawa wewe na mada imeshakuzidi uwezo.
 
Lile jitu lilikuwa jizi miradi mingi sifuri ziliongezwa. Jitu linanunua ndege kwa cash ushaona wapi dunia hii?! Tulikosea sana kama taifa kumpa nchi msukuma. Bahati nzuri Mungu katuhurumia..[emoji3][emoji3][emoji3]
Mada ushakuzidi uwezo hii
 
Back
Top Bottom