Battle ya Sativa vs ZCO Faustine Mafwele bado mbichi

Dogo anamlaum mafwele tu bure nafikir watesi wake ni wengine ila uyo mwafele ye kapokea tu tenda awe makini tu kama kaamua kumwaga unga, angejuwa kosa lake angejuwa watesi wake, mi nnavyoona dogo angeomba msaada kistaarabu,mara amlaumu Maza ata uyo dogo mwingine aliedakwa nae kina mambo fulani hayapo sawa,sio ukosoaji tu
 
Ana miaka 47 ila kishazeeka na hapo ni mtu wa mazoezi na pesa anayo ya uhakika ila kishachakaa!
 
Watu kama hao huwa hawana mke wala watoto huwa ni mashoga.
 
Acha uongo mbona kuna Wakili mmoja juzi kafungua kesi ya jinai ya yule "Afande" kule Dodoma? Acha upotoshaji kama hujui uliza ufundishwe!!
Ninajuwa ķuliko wewe. Ukifungua kesi ya jinai lazima DPP atakuwa ni mmoja plaintiff na moja kwa moja yeye ndiye ataendesha kesi. Baada ya hapo atakuja na "nolle prosecui" kama alivyofanya kwenye kesi ya Gekul ya kumuingiza mtu chupa mkunduni
 
Hivi umeelewa ulicho andika au ujala mchana?
 
Ninajuwa ķuliko wewe. Ukifungua kesi ya jinai lazima DPP atakuwa ni mmoja plaintiff na moja kwa moja yeye ndiye ataendesha kesi. Baada ya hapo atakuja na "nolle prosecui" kama alivyofanya kwenye kesi ya Gekul ya kumuingiza mtu chupa mkunduni
Unaona usivyojua!! Kwenye kesi ya jinai hakuna Plaintff mkuu. Hiyo ni ya madai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…