ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
MayiibuyeeAMANDLA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MayiibuyeeAMANDLA
Wewe na Sativa nani ana akiliAsiyefundwa na mame hufundwa na ulimwengu ndivyo impasayo sativa17, anayoyataka atayapata.
Maneno mingi kazi kidogo
Atapata anachotaka aendelee na kelele zake hao wanaompa kichwa ni vibwengo tu hamna kitu.
Wadiz
Ngoja nikupe like mkuuJamaa hajajua bado adui yake ni nani
Ana miaka 47 ila kishazeeka na hapo ni mtu wa mazoezi na pesa anayo ya uhakika ila kishachakaa!Mara nyingi nikiangalia picha ya huyu mtu, kwa jicho la tatu, huyu ameanza kutafunwa na nafsi yake. Damu alizomwaga ni nyingi sana. Hana raha ya kipato anachopata, watoto wake wanalipiwa kwa fedha ya damu za watu masomo yao hayana baraka ya Mungu. Mkewe akivaa akadhani kapendeza ni mavazi ya damu za watu.
Muuaji wa kwanza tangu ulimwengu kuumbwa alikuwa Kaini.
Baada ya Kaini kumuua Abel, Kaini alichimba shimo akamfukia, damu ya Abel ikamlilia Mungu, Mungu akasikia kilio cha Abel. Mungu akamuita Kaini, naye akaitika Mungu akamuuliza yu wapi Abel ndugu yako? Kaini akamjibu ovyo sana Mungu eti kwani mimi ni mlinzi wake?
Majibu ya ovyo ya Kaini kwa Mungu ni dailies ya kufadhaika kwa nafsi ya Kaini. Ndivyo wauaji wanavyofadhaika. Mwisho wataanza kuelezea kwa watu kuhusu maovu waliyotenda na kamwe haitasaidia.
Watu kama hao huwa hawana mke wala watoto huwa ni mashoga.Mara nyingi nikiangalia picha ya huyu mtu, kwa jicho la tatu, huyu ameanza kutafunwa na nafsi yake. Damu alizomwaga ni nyingi sana. Hana raha ya kipato anachopata, watoto wake wanalipiwa kwa fedha ya damu za watu masomo yao hayana baraka ya Mungu. Mkewe akivaa akadhani kapendeza ni mavazi ya damu za watu.
Muuaji wa kwanza tangu ulimwengu kuumbwa alikuwa Kaini.
Baada ya Kaini kumuua Abel, Kaini alichimba shimo akamfukia, damu ya Abel ikamlilia Mungu, Mungu akasikia kilio cha Abel. Mungu akamuita Kaini, naye akaitika Mungu akamuuliza yu wapi Abel ndugu yako? Kaini akamjibu ovyo sana Mungu eti kwani mimi ni mlinzi wake?
Majibu ya ovyo ya Kaini kwa Mungu ni dailies ya kufadhaika kwa nafsi ya Kaini. Ndivyo wauaji wanavyofadhaika. Mwisho wataanza kuelezea kwa watu kuhusu maovu waliyotenda na kamwe haitasaidia.
Ninajuwa ķuliko wewe. Ukifungua kesi ya jinai lazima DPP atakuwa ni mmoja plaintiff na moja kwa moja yeye ndiye ataendesha kesi. Baada ya hapo atakuja na "nolle prosecui" kama alivyofanya kwenye kesi ya Gekul ya kumuingiza mtu chupa mkunduniAcha uongo mbona kuna Wakili mmoja juzi kafungua kesi ya jinai ya yule "Afande" kule Dodoma? Acha upotoshaji kama hujui uliza ufundishwe!!
Hivi umeelewa ulicho andika au ujala mchana?Dogo anamlaum mafwele tu bure nafikir watesi wake ni wengine ila uyo mwafele ye kapokea tu tenda awe makini tu kama kaamua kumwaga unga, angejuwa kosa lake angejuwa watesi wake, mi nnavyoona dogo angeomba msaada kistaarabu,mara amlaumu Maza ata uyo dogo mwingine aliedakwa nae kina mambo fulani hayapo sawa,sio ukosoaji tu
19. Mafwele huyu hapa:-Jamani hv yule muovu shetani mwenye mapembe na huyu Mafwele ni mtu mmoja au watu wawili tofauti? Au mi ndo nachanganya!
Unaona usivyojua!! Kwenye kesi ya jinai hakuna Plaintff mkuu. Hiyo ni ya madai.Ninajuwa ķuliko wewe. Ukifungua kesi ya jinai lazima DPP atakuwa ni mmoja plaintiff na moja kwa moja yeye ndiye ataendesha kesi. Baada ya hapo atakuja na "nolle prosecui" kama alivyofanya kwenye kesi ya Gekul ya kumuingiza mtu chupa mkunduni
Nakubaliana na wewe, watu hawa hupoteza utimamu wa mwili na akiliWatu kama hao huwa hawana mke wala watoto huwa ni mashoga.