Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,923
Hivi inakuaje mwanaume unakua mwoga mwoga!? hua inatokeaje hapo?? ..sorry ..ww ni Ke au MeAsiyefundwa na mame hufundwa na ulimwengu ndivyo impasayo sativa17, anayoyataka atayapata.
Maneno mingi kazi kidogo
Atapata anachotaka aendelee na kelele zake hao wanaompa kichwa ni vibwengo tu hamna kitu.
Wadiz