mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
mimi sio mchawi ila wiki haipiti sativa atakamatwa na kama mzaha jela ataenda,anachotakiwa kufanya mpaka sasa ni kukazana kupost tu picha,ashinikize zaidi watu kumchimba mkwara binti na wanafamilia wengine.Hawezi kukosea etti kumfungulia Mashtaka Dogo, hapo ndo atakua kayakoroga....!
Yani hata hao Police wenyewe wanajiuliza wafanye Nini kuhusu Sativo.
Hawawezi kumfungulia Mashtaka coz mwisho kesi itabadirika tu....!
Hawawezi kumkamata Tena, labda atekwe Tena..!
Na ikija kutangazwa kapotea, Kazi wanayo Police kuwaeleza Watanzania kilichotokea.
Tena mlalamikaji hatakuwa mafwele mwenyewe.