Battle ya Sativa vs ZCO Faustine Mafwele bado mbichi

Battle ya Sativa vs ZCO Faustine Mafwele bado mbichi

Hawezi kukosea etti kumfungulia Mashtaka Dogo, hapo ndo atakua kayakoroga....!

Yani hata hao Police wenyewe wanajiuliza wafanye Nini kuhusu Sativo.

Hawawezi kumfungulia Mashtaka coz mwisho kesi itabadirika tu....!
Hawawezi kumkamata Tena, labda atekwe Tena..!
Na ikija kutangazwa kapotea, Kazi wanayo Police kuwaeleza Watanzania kilichotokea.
mimi sio mchawi ila wiki haipiti sativa atakamatwa na kama mzaha jela ataenda,anachotakiwa kufanya mpaka sasa ni kukazana kupost tu picha,ashinikize zaidi watu kumchimba mkwara binti na wanafamilia wengine.

Tena mlalamikaji hatakuwa mafwele mwenyewe.
 
Hamna kitu kama hicho. Hao Mafwele na wenzie ni mafala tu. Chance ya kummaliza Sativa walipata na wakazunguka naye hadi Arusha na Katavi ila Mungu kawaumbua makusudi na uovu wao
 
Dah nimpe pole huyu jamaa kwa nyakati ngumu alizopitia sio jambo jepesi.

Sema hapa naona kuna kitu hakipo sawa kwake.Sijui kiasi gani amejipanga kumkabili huyu mtu lakini kwa hesabu nyepesi unaona battle anaweza shindwa tena

Angeweza angemwachia Mungu au kama anataka kuchukua njia za asili hakuwa na sababu ya kuparade hizi taarifa kizembe(labda ni kutoa ufahamu kwa wengine hili wajichunge kama ndio lengo basi sio vibaya lakini kama ni lengo la kupata huruma ya watz niseme hapa uongo kwani watanzania unafiki ni mwingi)
Huyu ashakufa

Amekuja kuleta ushahidi kuondoa haya mambo ya kishamba ccm wanafanya

Ogopa sana dead soul on a living body

Na bado sana acha aongee yote

Hii nchi tukipata vijana kumi kama huyu basi tumekomboka

Ila vijana wengi ndio kama. Wewe sasa
 
Kama mimi sawa! wewe hapo ulipo ni kitu gani ambacho umefanya cha tofauti(Huu ndio unafiki naongelea) ona hiki "Hii nchi tukipata vijana kumi kama huyu basi tumekomboka" hawa vijana kumi watoke wapi? Kwanini usiwe wewe? Kwenu na ukoo wako hakuna vijana ambao idadi yake inaweza kufika kumi? Kwanini hatuoni kutoka katika familia au ukoo wako?(unafiki mwingine)

Kama wewe unaona unaweza fanya mageuzi kweli naomba nikuone mstari wa mbele sio kuja kuchochea wenzako wapate shida then uingie mitini.
 
mimi sio mchawi ila wiki haipiti sativa atakamatwa na kama mzaha jela ataenda,anachotakiwa kufanya mpaka sasa ni kukazana kupost tu picha,ashinikize zaidi watu kumchimba mkwara binti na wanafamilia wengine.

Tena mlalamikaji hatakuwa mafwele mwenyewe.

Akamatwe kwa kosa gani wakati kamtambua mtu aliyemteka? Print out zinaonyesha kweli alienda kuteswa Oysterbay na mmoja wa waliosimamia show ni MAFWELE ,sasa kumtaja mtu aliyekuteka ni KOSA?
 
Akamatwe kwa kosa gani wakati kamtambua mtu aliyemteka? Print out zinaonyesha kweli alienda kuteswa Oysterbay na mmoja wa waliosimamia show ni MAFWELE ,sasa kumtaja mtu aliyekuteka ni KOSA?
Chief, nimepita twitter, Sativa ameweka taarifa za mtu anayedai kuwa ni binti wa mtesi wake, ameweka namba zake za simu na chuo anachosoma(SA).
Hii haiwezi kumletea shida Sativa?
Kupost namba/taarifa binafsi za mtu mtandaoni bila ridhaa yake sio kosa kisheria?
 
Hakika.
Pia ukiangalia mabandiko yake utaona bado kuna vita chini kwa chini vya wazi kati yake na watesi wake.

Anaonekana pia ameshajitoa sadaka...liwalo na liwe.
Yes unajua ukinusurika kifo mara moja ni kawaida kabisa hutakuja kukiogopa kifo tena. Yeye haogopi kifo sababu alichungulia mlango wa mauti kwahiyo kifo kwake ni amepigia mstari ule msemo kwamba hakuna atakaye ishi milele.

Shida inakuja kwetu ambao hatujanusa mlango wa kifo lazima mtu unaogopa.
 
mimi sio mchawi ila wiki haipiti sativa atakamatwa na kama mzaha jela ataenda,anachotakiwa kufanya mpaka sasa ni kukazana kupost tu picha,ashinikize zaidi watu kumchimba mkwara binti na wanafamilia wengine.

Tena mlalamikaji hatakuwa mafwele mwenyewe.
Si rahisi kama unavyofikiri, kama umemsikia Karibu Mkuu wa CCM Leo.
 
Hawezi kukosea etti kumfungulia Mashtaka Dogo, hapo ndo atakua kayakoroga....!

Yani hata hao Police wenyewe wanajiuliza wafanye Nini kuhusu Sativo.

Hawawezi kumfungulia Mashtaka coz mwisho kesi itabadirika tu....!
Hawawezi kumkamata Tena, labda atekwe Tena..!
Na ikija kutangazwa kapotea, Kazi wanayo Police kuwaeleza Watanzania kilichotokea.
Kumbuka: Hawa wauaji waliopo huko Polisi au Tiss Wana Watu (Mawakala) wao wengi sana huko mitaani, huyo Sativa awe makini Sana kwa Sasa kwa sababu kwa Hali mbaya waliyonayo hao Watekaji wake hivi sasa baada ya kuwaumbua na kuwaacha uchi wa mnyama, upo uwezekano mkubwa sana hao watekaji wake wanaweza wakawa-recruit hata ndugu zake wa damu ili waweze kumuua huyo Sativa ambaye anaonekana anawasumbua Sana hao Watekaji wake.
Awe mwangalifu
 
Jamaa kajitoa muhanga aisee aliyoyapitia yamemkomaza!!
Can you imagine baada ya mateso yote katandikwa risasi ya taya halafu akatupwa mbungani huko aliwe na wanyama!!!
Sipati Picha maumivu wanayoyapitia ndugu waliopoteza wapendwa wao Kwa kutekwa wanahisi pengine ndugu zao wameliwa na mafisi baada ya kutupwa!!!☹️☹️☹️☹️☹️☹️so sad.
 
Nchi ichukue Hatua
Mtu dizaini ya SATIVA hana cha kupoteza tena mwili ushakufa ganzi, Serikali ifanye jambo kuguswa na uchungu alionao. Hapo alipo anaweza jivika bomu afe na kijiji hana cha kupoteza amekosa mtu/taasisi ya kutia kiberiti awake.

Lets take care of it. SATIVA ana maumivu sana hashindwi kuvaa bomu akailipua Osterbay na askari wake wote wakaaangamia! Tumtafutie tiba ya wanasaikolojia haraka.
Tiba sahihi ya kisaikolojia ni huyo Mafwele kuozea gerezani, hakuna tiba nyingine..
 
Kama mimi sawa! wewe hapo ulipo ni kitu gani ambacho umefanya cha tofauti(Huu ndio unafiki naongelea) ona hiki "Hii nchi tukipata vijana kumi kama huyu basi tumekomboka" hawa vijana kumi watoke wapi? Kwanini usiwe wewe? Kwenu na ukoo wako hakuna vijana ambao idadi yake inaweza kufika kumi? Kwanini hatuoni kutoka katika familia au ukoo wako?(unafiki mwingine)

Kama wewe unaona unaweza fanya mageuzi kweli naomba nikuone mstari wa mbele sio kuja kuchochea wenzako wapate shida then uingie mitini.
We mzee unanijua.?

Au unaona jina baba swalehe unaona aaah hawa watu tuko sawa tu humu

Pseudonames za humu zinakudanganya sana sio

So far hujajibu hoja yangu

Nliyofanya kwa ajili ya hii nchi wewe na kizazi chako na cha babu yako. Mzaa babu yako wajukuu zako na watoto wa wajukuu zako hawatokuja kufanya

Ukiona sehemu pameandika alphasat put a name and respect to baba swalehe
 
Hongera sana mkuu we ni Cheguevara mtupu
 
Hongera sana mkuu we ni Cheguevara mtupu
Hivi vitoto vinakuja humu havijui
Watu kwanza wamepambanaje hii JF isifungwe

Yaani takataka sana aisee na nlkua namwelekeza taratibu sana

Hii nchi vijana wanawaza kugongana simba yanga kufungua kiduka cha dawa au nguo
Kuwa winga kariakoo
Nchi ina vijana wengi wapumbavu sana
Kugongana sawa mpira sawa naupenda sana
What are you doing for your country as a part of history what will you do basically to be written
 
Back
Top Bottom