Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

Walifanikiwa kufikisha ujumbe muhimu wa Katiba Mpya hayo mengine juu ya rangi sio muhimu sana
Everything is very clear.
Hakuna mtihani mgumu kama kukaa jukwaa la Simba wakati wewe ni Yanga. Inabidi uwe na mtu wa kukumonitor kila wakati. Hapa Simba walikuwa 3 na Yanga tulikuwa 3. Kikubwa tulikuwa na special mission ya kupeleka Agenda ya #KatibaMpya kwa Mkapa. Tuliingia kwa Shangwe kama loteeeee. https://t.co/5IMPzjbne0View attachment 2041272
 
Tatizo linaanzia pale mtu anapotaka mawazo na maoni yake yafanane na mtu (watu wote) mwingine.

Tumeumbwa na tukapewa free will (kuchagua unachopenda na unachotaka) means hatuwezi kufanana kwa chochote.

Kilicho kizuri/kibaya kwako si lazima kiwe kibaya/kizuri kwa mwingine, muhimu kila mtu anatakiwa kuheshimu mawazo/maoni ya mtu mwingine bila kutukana wala kukejeli.

Naheshimu mawazo/maoni yako ila kwangu sio sahihi, ni kinyume chake.
 
Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.

View attachment 2041065
Nyeupe ni rangi ya simba. Usichanganye mpira kandannda kanumbumbu na siasa otherwise utakua mbumbu. Kuna wanaCCM ambao rangi zao ni njano na kijani za Yanga ila ni wanasimba na hujawahi ona wakilalamika

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom