BAWACHA kutinga Bungeni tarehe 10/05/2021 kuwatimua Wabunge 19 waliopora nafasi za CHADEMA

Kimeumana.
 
Ujinga.
 
Sijawahi kusikia kitu kama hiki

Tutaona mengi sana
Hapa Ndugai ajiandae muvi imeshaanza .
Mama tayari ni mwenyekiti kwa hiyo jibu lipo wazi.
Hili linamtoa Ndugai kwani Profesa Safari alimuuliza Ndugai anatumia Katiba gani ?
Na hili swali anatakiwa alijibu na akilijibu basi hastahili kuwepo ktk hicho kiti.
 
Chadema kuteua wabunge 19 kuwapeleka kwenye lile bunge haramu.
Sasa BAWACHA wanaandamana ili kuachive nini? Maandamano ndio solution kudeal na ile issue? Tena eti wanapanga kuandamana kuelekea Bungeni.

Kina mama hawa wanahitaji guidance kutoka BAVICHA
 
Hii Kali mm najua wanataka kususa mazima Kumbe wawapishe akina Kiwanga hivi Chadema Kuna mtu yeyote anazo Kweli?
 
Kwa uchaguzi wa mwaka gani?
 
Usipotoshe. Wote tumesikia kuwa wanaenda kuwatimua ili wasiendelee kulipwa fedha ya umma bila uhalali na siyo kudai nafasi za ubunge viti maalumu.
 
Mkuu naona umerudi CHADEMA kimya kimya
 
Point sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…