johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #81
Hasira hasara bwashee!Ni mambo kama haya ndiyo yanaongeza msongamano wa mahabusu.
Ni kosa la John Mnyika. Anajua hasira mbaya za Spika, lakini anataka kuwaruhusu kufanya hivyo.
Kuita wajumbe wa Baraza kuu la Chadema kuna garama za usafiri na posho kwa wajumbe wakati maandamano posho haiitajiki.Haya maandamano nadhani yamechelewa na labda yangefaa zaidi mwezi Nov mwaka 2020.
Hii approach kwa sasa sio sahihi na ni bora turudi kwenye basics: Kwanini CHADEMA wasiteue wabunge 19 na kupeleka taarifa ofisi za NEC kwa kuwa wale “walifoji” nyaraka na kimsingi hawatambuliki?
Kwanini rufaa ya akina Mdee haisikilizwi na Baraza Kuu kubariki kutimuliwa kwao? Hivi kipi ni rahisi zaidi on paper kati ya kuratibu maandamano mpaka Bungeni au kuitisha hilo Baraza?
Kukata rufaa hakutengui maamuzi ya kamati kuu mpaka maamuzi ya rufaa yatokeHaya maandamano nadhani yamechelewa na labda yangefaa zaidi mwezi Nov mwaka 2020.
Hii approach kwa sasa sio sahihi na ni bora turudi kwenye basics: Kwanini CHADEMA wasiteue wabunge 19 na kupeleka taarifa ofisi za NEC kwa kuwa wale “walifoji” nyaraka na kimsingi hawatambuliki?
Kwanini rufaa ya akina Mdee haisikilizwi na Baraza Kuu kubariki kutimuliwa kwao? Hivi kipi ni rahisi zaidi on paper kati ya kuratibu maandamano mpaka Bungeni au kuitisha hilo Baraza?
Hao hawana ruzuku!Lakini kabla hawajaanza maandamano kwenda Bungeni kudai Mdee na wenzake 19 watoke, wameshaulizia Ruzuku ya wabunge 19 kwa Chadema kama Chama inakwendaga wapi kila mwezi?
Hili suala lilitakiwa kuwa la chama badala ya party wing tu.Chadema Kuna tatizo kubwa sana
🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 😀Kuita wajumbe wa Baraza kuu la Chadema kuna garama za usafiri na posho kwa wajumbe wakati maandamano posho haiitajiki.
Au anafelishwa kimkakati....from within. Politics versus economicsHili suala lilitakiwa kuwa la chama badala ya party wing tu.
Mnyika anafeli big time
CHADEMA inahitaji reshuffle kwenye department's zake zinahusu operations za chama.Au anafelishwa kimkakati....from within. Politics versus economics
Ni kweli wako hoi kifedha lakini they should play smartAu anafelishwa kimkakati....from within. Politics versus economics
Si walikata hzi nafasi nakukataa uchaguzi imekuwaje tenaBawacha wamepanga kwenda Bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za Ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .
Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea Bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane.
BAWACHA wamesema safari yao ni ya amani.
Chanzo: ITV habari
Hii ni awamu ya 6 bwashee!Si walikata hzi nafasi nakukataa uchaguzi imekuwaje tena
Haya endeleeni kujifarijiHii ni awamu ya 6 bwashee!
HahahahaSijawahi kusikia au kuona mtu anarudi Chadema!
Nawaona wanaoondoka tu.
Wanaanza na wanaloona ni hot zaidi.Kama wanajielewa wafanye maandamano kwenda ofisi yao kuu pale ufipa kushinikiza uongozi wa juu wa chama kuchukua hatua la tuwahesabu kuwa wana chuki na wivu kwa wanawake wenzao.
Isitoshe kumekuwa na matumizi yasiyo halali ya ruzuku, lakini hawakuchukua hatua kama hiyo ya kuandamana kudai maelezo.
Hakika jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
nafikri wewe ndiye muhuniWasilete uhuni. Bunge si uwanja wa wahuni.
Mkuu fanya marekebisho kwenye wasilisho lako. Nilichosikia na kuona kwenye ITV ni kwamba wametaka wale Wabunge 19 wa viti maalum waliojiteua waondolewe Bungeni na fedha zitakazookolewa kutokana na kuondolewa kwa Wabunge hao zitumike kwenye huduma za jamii yaani elimu na afya.Bawacha wamepanga kwenda Bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za Ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .
Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea Bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane.
BAWACHA wamesema safari yao ni ya amani.
Chanzo: ITV habari