BAWACHA kutinga Bungeni tarehe 10/05/2021 kuwatimua Wabunge 19 waliopora nafasi za CHADEMA

BAWACHA kutinga Bungeni tarehe 10/05/2021 kuwatimua Wabunge 19 waliopora nafasi za CHADEMA

Haya maandamano nadhani yamechelewa na labda yangefaa zaidi mwezi Nov mwaka 2020.

Hii approach kwa sasa sio sahihi na ni bora turudi kwenye basics: Kwanini CHADEMA wasiteue wabunge 19 na kupeleka taarifa ofisi za NEC kwa kuwa wale “walifoji” nyaraka na kimsingi hawatambuliki?

Kwanini rufaa ya akina Mdee haisikilizwi na Baraza Kuu kubariki kutimuliwa kwao? Hivi kipi ni rahisi zaidi on paper kati ya kuratibu maandamano mpaka Bungeni au kuitisha hilo Baraza?
Kuita wajumbe wa Baraza kuu la Chadema kuna garama za usafiri na posho kwa wajumbe wakati maandamano posho haiitajiki.
 
Lakini kabla hawajaanza maandamano kwenda Bungeni kudai Mdee na wenzake 19 watoke, wameshaulizia Ruzuku ya wabunge 19 kwa Chadema kama Chama inakwendaga wapi kila mwezi?
 
Haya maandamano nadhani yamechelewa na labda yangefaa zaidi mwezi Nov mwaka 2020.

Hii approach kwa sasa sio sahihi na ni bora turudi kwenye basics: Kwanini CHADEMA wasiteue wabunge 19 na kupeleka taarifa ofisi za NEC kwa kuwa wale “walifoji” nyaraka na kimsingi hawatambuliki?

Kwanini rufaa ya akina Mdee haisikilizwi na Baraza Kuu kubariki kutimuliwa kwao? Hivi kipi ni rahisi zaidi on paper kati ya kuratibu maandamano mpaka Bungeni au kuitisha hilo Baraza?
Kukata rufaa hakutengui maamuzi ya kamati kuu mpaka maamuzi ya rufaa yatoke
 
Lakini kabla hawajaanza maandamano kwenda Bungeni kudai Mdee na wenzake 19 watoke, wameshaulizia Ruzuku ya wabunge 19 kwa Chadema kama Chama inakwendaga wapi kila mwezi?
Hao hawana ruzuku!
 
Au anafelishwa kimkakati....from within. Politics versus economics
CHADEMA inahitaji reshuffle kwenye department's zake zinahusu operations za chama.
1. Kurugenzi ya operation na mafunzo haina mtu toka 2019.
2. Kurugenzi ya Propaganda Hemed Ally is too soft and passive.
3. Kurugenzi ya Mambo ya nje Munis ni kama hayupo ofisini
4. Kurugenzi ya uchaguzi na bunge inapaswa kurejeshwa haraka na apewe mtu mwenye commitment
 
Bawacha wamepanga kwenda Bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za Ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .

Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea Bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane.

BAWACHA wamesema safari yao ni ya amani.

Chanzo: ITV habari
Si walikata hzi nafasi nakukataa uchaguzi imekuwaje tena
 
Kama wanajielewa wafanye maandamano kwenda ofisi yao kuu pale ufipa kushinikiza uongozi wa juu wa chama kuchukua hatua la tuwahesabu kuwa wana chuki na wivu kwa wanawake wenzao.

Isitoshe kumekuwa na matumizi yasiyo halali ya ruzuku, lakini hawakuchukua hatua kama hiyo ya kuandamana kudai maelezo.

Hakika jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
Wanaanza na wanaloona ni hot zaidi.
Hilo la ruzuku linajadilika ndani ya vikao lakini la hao covid na kimbunga jobo wameona watumie mbinu hiyo.
Wasikilizwe nchi ni yetu sote
 
Mbona wana wivu ,wabunge wanawahusu nini? Hapo cha maana ni Mnyika kufuata utaratibu otherwise watakula virungu vya polisi Dom
 
Bawacha wamepanga kwenda Bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za Ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .

Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea Bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane.

BAWACHA wamesema safari yao ni ya amani.

Chanzo: ITV habari
Mkuu fanya marekebisho kwenye wasilisho lako. Nilichosikia na kuona kwenye ITV ni kwamba wametaka wale Wabunge 19 wa viti maalum waliojiteua waondolewe Bungeni na fedha zitakazookolewa kutokana na kuondolewa kwa Wabunge hao zitumike kwenye huduma za jamii yaani elimu na afya.
 
Back
Top Bottom