BAWACHA watangaza kuchoma vitenge walivyopewa kama zawadi na Rais Samia mwaka jana

Moja Kati ya Akili za Hovyo,,Nadhani ni bora wangekaa kwa kutulia kuliko kuja na hoja kama hiyo kwenye jambo la msingi mnoo kama hilo.
 
Safi sana
 
4R, haikuwa rushwa
 
Bado walikuwa navyo tu?
 
Tamko na sababu zilizowapelekea kuweka msimamo wao hadharani hizi hapa kwenye video


Your browser is not able to display this video.

Wanaodhani kuwa haya madudu ya tuhuma dhidi ya Samia yatapita kama walivyozoea ni wazi wanakosea.

Walimfunga Chaula na kumpoteza. Sasa waanze project mpya maana ndo kama petroli imetua kwenye moto unaoendelea kuwaka


Utekelezaji ukianza👇👇👇👇👇


Your browser is not able to display this video.
 
Kwa mlivyo shindwa hata kuandamana sijui hata kama imewauma.. Kuna wakati nakumbuka DR slaa
 
Hakuna haja ya kuvichoma moto...

Yabebeni na mrudishieni au mkayatupe getini magogoni...

Zawadi za kinafiki na zilizokaa kwa mtindo wa hongo hongo, hazifai. Mrudishieni mwenyewe, kataeni laana hiyo...
 
Huyu mama ni akili kubwa. Nimemtunuku PhD ya heshima.
 
Ndipo tulipofikia? 4Rs hazifanyi kazi tena? Suluhisho la hili ni nini wadau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…