BAWACHA watangaza kuchoma vitenge walivyopewa kama zawadi na Rais Samia mwaka jana

Hii inadhihirisha ninayoyasema.

CHADEMA si chama cha Siasa, bali ni Genge la wanaharakati.

Wakumbuke tu hii ni mbegu gani za upinzani wanazopanda. Mazingira ya hovyo ya siasa.

Nasema hivyo kwasababu ipo siku, 2040's huko pakatokea uwezekano wa Chama ama Vyama mbadala kushika Dola.

Patakalika?

Haya🔥

Wacha wajenge tu haya Mazingira. Watakuja kujuta.

=========
Hebu fikiria tu kwa sekunde, watu wengine waanze kuchoma moto picha, vitenge , kanga zenye picha za Wanachadema?
Kutakalika?

Suala hili linahatarisha Usalama wa Taifa ma Raia wake.
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu
 

Attachments

  • Screenshot_2024-09-25-20-18-05-1.png
    589.7 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1727158232732.jpg
    48 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1727158226330.jpg
    48.9 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1727145615769.jpg
    88.5 KB · Views: 1
Mbowe na Mnyika vile vitenge vya zawadi walishona Mashati 😀
 
HAPA UMENENA VEMA. They embraced the principle of " The enemy of Your Enemy is your Friend !" But they were not Friends at all, but only brought together by what we call" the highest level of hypocrisy". Sisi tuliofiwa na mpendwa wetu, tulikuwa tunajua this Friendship of convenience will not get far. Ngoja tukae pembeni tukiwacehekelea kwa huu mnyukano wao, maana na sisi wakati tunaomboleza wao pamoja walikuwa wakisheherekea hadharani na nyuma ya pazia. Acha walibebe wenyewe.
 
Hawa ndio wanataka wakabidhiwe nchi? Jinga kabisa
 
Doh!
 
..safi sana.

..nguo zote zenye picha ya mtawala muuaji zichomwe moto.
 
Kumbe walivitunza....🤣🤣🤣🤣
Zawadi ni Heshima......kuchoma moto zawadi ni sawa na kujizika/kuzika baraka.
Anyway is up to them...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…