Baba Vladmir
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 373
- 627
Hapo unatakiwa upate dawa ya kunywa sambamba na ya kupona.Ukiwa tayari nitafute nitakupa dawa ya kutumia mwezi mzima mfululizo lakini utapona kabisa.Mgagan ndo unazidi kuvimbisha yan utaumia sio poa
Nilifululiza kula ngano hapa, nipo naugulia maumivu.Inawezekana kupona kwanza anza kubadirisha mlo wako unaokula itaacha yenyewe, bawasiri ni matokea ya mfumo wa Chakula kua na itilafu sababu ni kutokula chakula au vyakula vywenye nyuzi nyuzi kwa wingi, ingawa sababu zake ni nyingi Ila kwanza kabisa ukitaka upone acha kabisa kula vyakula vya ngano mfano maandazi, chapati, nk chochote kilichopikwa kwa ngano kaa nacho mbali utaanza kupata nafuu
Mataperi ni weng ivo unavotaja nshakula sana na herbal nying nimekula may be itakuwa concordFanya masaji na alovera au mgagani usipopona njoo hapa tena onyo usifanye oprreatuon pia kunywa maji menhmgi kula mapapi pia tafuta dawa ya kusafisha tumbo
Mkuu bado hujapona, pole sana mwenyewe hii ktu imenisumbua sana aiseee nimetumia dawa inaitwa anusol ndo nimepata ahueni... zingatia sana kula fiber mkuu.Mataperi ni weng ivo unavotaja nshakula sana na herbal nying nimekula may be itakuwa concord
Hiyo dawa ya anusol ulitumia muda gani Hadi ukaponaMkuu bado hujapona, pole sana mwenyewe hii ktu imenisumbua sana aiseee nimetumia dawa inaitwa anusol ndo nimepata ahueni... zingatia sana kula fiber mkuu.
Maelekezo ya kuutumia mgagani yapoje?Tumia mgagani mkuu, walio wahi kupata hilo tatizo wanasema huo mmea uliwaponya kabisa.
Nimetumia hii siku ya 4 ila sioni mabadiliko yoyoteNlitumia mwez lkn mim bdo na ukiitumia zaid ya mwez itKuletea mattzo mengne sabbu ni chemical kali
Tafuta dawa za kisunnaBawasili imenikata nguvu za kiume kbsa msaada aliepona
Apa nangoja kupasua ospital tu maana nimegaramikia sana naona no changes ao wanaosema inarud awana uakika nina watu kama wanne haijarudi baada ya kupasua lkn nje na upasuaji izo nyingine zinapooza tu ila sio matibabu ya kudumuNimetumia hii siku ya 4 ila sioni mabadiliko yoyote
Upasuaji bei ganiApa nangoja kupasua ospital tu maana nimegaramikia sana naona no changes ao wanaosema inarud awana uakika nina watu kama wanne haijarudi baada ya kupasua lkn nje na upasuaji izo nyingine zinapooza tu ila sio matibabu ya kudumu
Hapo SawaKuna mmoja alifanyiwa 250k private hospital lkn ospital ya serikali itakuwa chini ya apo maana ni upasuaji mdogo
Kuna mmoja alifanyiwa 250k private hospital lkn ospital ya serikali itakuwa chini ya apo maana ni upasuaji mdogo
Hivi bawasili ya nje inaweza kusababisha homa KaliKuna mmoja alifanyiwa 250k private hospital lkn ospital ya serikali itakuwa chini ya apo maana ni upasuaji mdogo
Huwez Fanya lolote maana setting zote zinazopelekea mashine Ifanye KAZI vizuri misuli yake Ipo mkunduni ndo maana shoga hawez kuwa na nguvu za kiume maana nyuma pashaharibikaSio poa bawasili imefanya ad mashine inakuwa weak