BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!!

Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters wameelezea matukio aliyofanya ambayo yanatarajiwa kupostiwa na BBC katika video
View attachment 2864719

Tizama kipande hiki cha BBC wakihoji watu waliokumbwa na unabii feki wa TB Joshua....
Hii inashangaza!!! 😱🚴🏿‍♀️🚴🏿‍♀️🚴🏿‍♀️💨

📺 Video Credit: BBC
View attachment 2864718

TB Joshua alikuwa ni mchungaji maarufu wa Kikristo na mwanzilishi wa kanisa la Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) huko Lagos, Nigeria. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika jamii na alihusika katika huduma za kiroho, uponyaji, na mafundisho ya Biblia. Hata hivyo, alifariki dunia mnamo Juni 2021.
Utukufu kwa Mungu Mkuu, huu ni wakati wa kuwa fungua macho wote waliochukuliwa mateka na shetani kupitia wahubiri Feki, TD jakes na wenzake wote watazidi kuwekwa uchi mbele ya waamini....na watu wa Mungu atarudi ktk madhabahu takatifu sasa.... Halleluyaaah😍😍😍🙏

Utukufu kwa Mungu Mkuu, huu ni wakati wa kuwa fungua macho wote waliochukuliwa mateka na shetani kupitia wahubiri Feki, TD jakes na wenzake wote watazidi kuwekwa uchi mbele ya waamini....na watu wa Mungu atarudi ktk madhabahu takatifu sasa.... Halleluyaaah[emoji7][emoji7][emoji7][emoji120]

TD Jakes ana skendo balaa. Kuna kashfa zake za ushoga wake na P Diddy
 
Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!!

Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters wameelezea matukio aliyofanya ambayo yanatarajiwa kupostiwa na BBC katika video
View attachment 2864719

Tizama kipande hiki cha BBC wakihoji watu waliokumbwa na unabii feki wa TB Joshua....
Hii inashangaza!!! 😱🚴🏿‍♀️🚴🏿‍♀️🚴🏿‍♀️💨

📺 Video Credit: BBC
View attachment 2864718

TB Joshua alikuwa ni mchungaji maarufu wa Kikristo na mwanzilishi wa kanisa la Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) huko Lagos, Nigeria. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika jamii na alihusika katika huduma za kiroho, uponyaji, na mafundisho ya Biblia. Hata hivyo, alifariki dunia mnamo Juni 2021.
Kwanini hawakufanya ivo alipokuwa hai?
 
Hii inashangaza!!! [emoji33][emoji2196][emoji2196][emoji2196][emoji100]

[emoji342] Video Credit: BBC
View attachment 2864718

TB Joshua alikuwa ni mchungaji maarufu wa Kikristo na mwanzilishi wa kanisa la Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) huko Lagos, Nigeria. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika jamii na alihusika katika huduma za kiroho, uponyaji, na mafundisho ya Biblia. Hata hivyo, alifariki dunia mnamo Juni 2021.
Aliyeamini miujiza yake anapaswa kupimwa akili
 
Wataelewa tu.

Wahenga walisema.

Mbio za sakafuni, huishia ukingoni.

You can fool some people for some time, but you can't fool all the people all the time.
 
Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!!

Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters wameelezea matukio aliyofanya ambayo yanatarajiwa kupostiwa na BBC katika video
View attachment 2864719

Tizama kipande hiki cha BBC wakihoji watu waliokumbwa na unabii feki wa TB Joshua....
Hii inashangaza!!! 😱🚴🏿‍♀️🚴🏿‍♀️🚴🏿‍♀️💨

📺 Video Credit: BBC
View attachment 2864718

TB Joshua alikuwa ni mchungaji maarufu wa Kikristo na mwanzilishi wa kanisa la Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) huko Lagos, Nigeria. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika jamii na alihusika katika huduma za kiroho, uponyaji, na mafundisho ya Biblia. Hata hivyo, alifariki dunia mnamo Juni 2021.
Wanaanza kuvuana nguo 😀😀
 
Aliyeamini miujiza yake anapaswa kupimwa akili
Wapo wengi
Screenshot_20240107_185727_Chrome~2.png
 
Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!!

Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters wameelezea matukio aliyofanya ambayo yanatarajiwa kupostiwa na BBC katika video
View attachment 2864719

Tizama kipande hiki cha BBC wakihoji watu waliokumbwa na unabii feki wa TB Joshua....
Hii inashangaza!!! 😱🚴🏿‍♀️🚴🏿‍♀️🚴🏿‍♀️💨

📺 Video Credit: BBC
View attachment 2864718

TB Joshua alikuwa ni mchungaji maarufu wa Kikristo na mwanzilishi wa kanisa la Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) huko Lagos, Nigeria. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika jamii na alihusika katika huduma za kiroho, uponyaji, na mafundisho ya Biblia. Hata hivyo, alifariki dunia mnamo Juni 2021.
Kama Mwamposa tapeli la matapeli.
 
Hawa matapeli tulishashtukia Kitambo
 
BBC walipaswa watoe wakati yupo hai.

Hao manabii wapo wengii sana. Waachane na marehemu waje kuchunguza kina Mwamposa huku na miujiza yao,,, maana wanajenga mahoteli kwa sadaka za waumini maskini
Unajua habari walizipata lini? Kuna watu wana-operate kwa kificho na kitisho sana kiasi ambacho wanapokuwa hai ni vigumu siri zao kuvuja. Watu kama Mwamposa au Gwajima huhitaji BBC wachunguze ili kukuambia kama ni watu wa namna gani. Wanajulikana kwa matendo yao.
 
Back
Top Bottom