BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

Na wakati mama rwakatare anataka kuanzisha mchongo wake,alisaidiwa sana na jamaa mmoja anaitwa D. mwakisambo ,mjanja tu tp fulani
Alikuwa yaani mhuni tu
Aise na kweli kanisa likaja [emoji1]
Hapa mjini tunawaangalia tu watu
Ila wengi fix tu
Sema nchi hii ina wajinga wengi sana
Na hawaishi labda bahari ikauke

Ova
Si wakuja hao ndio wanajaa humo wakati ma born town mnawachora tu hapo mjini
Hivi huyo mama si alishakata moto eeh
 
Si wakuja hao ndio wanajaa humo wakati ma born town mnawachora tu hapo mjini
Hivi huyo mama si alishakata moto eeh
Mjanja huwezi mkuta huko
Maana michezo hiyo watu wanaijua
Na wao wenyewe wanawajua ni fooo
Tu
Kuna wakati fulani muda kdg
Nlikuwa mahali TV agape
Ahh mara nkamuona mzee mmja anasukumwa na wheelchair mara anasimama anatoaushuhuda
Sahv anaweza simama na kutembea
[emoji1] yule frndz alimuombea
Sasa nkasema yule si fulani na juzi tu nlikuwa naye mzima kabisa vp tena hapo,aise nlicheka sana
Haya mambo ni biashara tu za imani
Na wao wenyewe wanakuambia ukishawatekq watu kwenye imani umewakamata

Ova
 
Mjanja huwezi mkuta huko
Maana michezo hiyo watu wanaijua
Na wao wenyewe wanawajua ni fooo
Tu
Kuna wakati fulani muda kdg
Nlikuwa mahali TV agape
Ahh mara nkamuona mzee mmja anasukumwa na wheelchair mara anasimama anatoaushuhuda
Sahv anaweza simama na kutembea
[emoji1] yule frndz alimuombea
Sasa nkasema yule si fulani na juzi tu nlikuwa naye mzima kabisa vp tena hapo,aise nlicheka sana
Haya mambo ni biashara tu za imani
Na wao wenyewe wanakuambia ukishawatekq watu kwenye imani umewakamata

Ova
Fernandez ndio yule kama muhindi wa ATN? Na mkewe kamama Fulani hivi yule mzee ukimuangalia tu unaona wazi upigaji
 
Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!!

Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters wameelezea matukio aliyofanya ambayo yanatarajiwa kupostiwa na BBC katika video
View attachment 2864719

Tizama kipande hiki cha BBC wakihoji watu waliokumbwa na unabii feki wa TB Joshua....
Hii inashangaza!!! 😱🚴🏿‍♀️🚴🏿‍♀️🚴🏿‍♀️💨

📺 Video Credit: BBC
View attachment 2864718

TB Joshua alikuwa ni mchungaji maarufu wa Kikristo na mwanzilishi wa kanisa la Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) huko Lagos, Nigeria. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika jamii na alihusika katika huduma za kiroho, uponyaji, na mafundisho ya Biblia. Hata hivyo, alifariki dunia mnamo Juni 2021.
Bongo lini wanakuja?
 
  • Sio poa hao BBC kupambana na kaburi
  • Wakiandika nakala ya janjajanja za Mwamposa et. all naomba mnijulishe. Hiyo siku nitatafuta ndafu nishushie na mbege.
 
BBC walipaswa watoe wakati yupo hai.

Hao manabii wapo wengii sana. Waachane na marehemu waje kuchunguza kina Mwamposa huku na miujiza yao,,, maana wanajenga mahoteli kwa sadaka za waumini maskini

Hata citizen TV walitoa makala ya Babu wa Loliondo kwa jinsi watu walivyokufa kwa kuamini dawa, huku Babu wa Loliondo akiwa ameshafariki. Kufariki hakuzuui taarifa zako kusemwa kuponya watu. Fuatilia documentary ya Pastor Njoroge na Kanyari wa Kenya.
 
Walete waleteeeeeee,BBC Eye my favourite Kwa kutifua makaburi,na hapa bongo waje Kuna wachungaji wanakula sana kondoo,Kuna mmoja wa Arusha ameweka Hadi shindano la kuchagua wa kunyandua yaani kondoo wanaliwa haswa.

Walaumiwe kondoo wenyewe? Wao badala ya kwenda malishoni wakaingia buchani.
 
Back
Top Bottom