BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!!

Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters wameelezea matukio aliyofanya ambayo yanatarajiwa kupostiwa na BBC katika video
View attachment 2864719

Tizama kipande hiki cha BBC wakihoji watu waliokumbwa na unabii feki wa TB Joshua....
Hii inashangaza!!! 😱🚴🏿‍♀️🚴🏿‍♀️🚴🏿‍♀️💨

📺 Video Credit: BBC
View attachment 2864718

TB Joshua alikuwa ni mchungaji maarufu wa Kikristo na mwanzilishi wa kanisa la Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) huko Lagos, Nigeria. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika jamii na alihusika katika huduma za kiroho, uponyaji, na mafundisho ya Biblia. Hata hivyo, alifariki dunia mnamo Juni 2021.
Kweli mapepo yamewatawala mpaka mnamnanga marehemu!
 
Watoe na Ya yule wa CHUGA
 
Itasaidia watu wasitapeliwe zaidi , hasa Wanawake ambao kimaumbile huamnini haraka mazingaombwe kama yale ya Kawe
Alafu mwisho wanaambiwa "Piga makofi kwa bwana yesu" 😂

Yaan yesu anapewa zawadi ya makofi... saa zingine wanaimbishwa kama watoto wa chekechea, eti "Sema Ayayaaa" na wao wanasema 😂😂😂

Kweli mwalimu wa wanawake ni kipofu 😂😂😂🙌🏾
 
Kwanini walisubiri afe kwanza? Sisi tataamini vipi story ya upande mmoja?
 
Mrangi mtoto wa mjini
Na wakati mama rwakatare anataka kuanzisha mchongo wake,alisaidiwa sana na jamaa mmoja anaitwa D. mwakisambo ,mjanja tu tp fulani
Alikuwa yaani mhuni tu
Aise na kweli kanisa likaja [emoji1]
Hapa mjini tunawaangalia tu watu
Ila wengi fix tu
Sema nchi hii ina wajinga wengi sana
Na hawaishi labda bahari ikauke

Ova
 
Back
Top Bottom