BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

Utukufu kwa Mungu Mkuu, huu ni wakati wa kuwa fungua macho wote waliochukuliwa mateka na shetani kupitia wahubiri Feki, TD jakes na wenzake wote watazidi kuwekwa uchi mbele ya waamini....na watu wa Mungu atarudi ktk madhabahu takatifu sasa.... HalleluyaaahπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™


 

TD Jakes ana skendo balaa. Kuna kashfa zake za ushoga wake na P Diddy
 
Kwanini hawakufanya ivo alipokuwa hai?
 
Aliyeamini miujiza yake anapaswa kupimwa akili
 
Wataelewa tu.

Wahenga walisema.

Mbio za sakafuni, huishia ukingoni.

You can fool some people for some time, but you can't fool all the people all the time.
 
Wanaanza kuvuana nguo πŸ˜€πŸ˜€
 
Kama Mwamposa tapeli la matapeli.
 
Hawa matapeli tulishashtukia Kitambo
 
BBC walipaswa watoe wakati yupo hai.

Hao manabii wapo wengii sana. Waachane na marehemu waje kuchunguza kina Mwamposa huku na miujiza yao,,, maana wanajenga mahoteli kwa sadaka za waumini maskini
Unajua habari walizipata lini? Kuna watu wana-operate kwa kificho na kitisho sana kiasi ambacho wanapokuwa hai ni vigumu siri zao kuvuja. Watu kama Mwamposa au Gwajima huhitaji BBC wachunguze ili kukuambia kama ni watu wa namna gani. Wanajulikana kwa matendo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…