BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

Utasubir sana sio muumini wa.Mwamposa lakini nakuhakikishia km wasemayo ni kweli watoe ripoti mwamposa akiwa hai

Watato tu. Tena muda sio mrefu. Kule Kenya huu ujinga ulipungua baada ya makala ya jicho pevu kuwa weka wazi Hawa matapeli. Sisi huku bado tunawachekea
 
Walikuwa wapi miaka yote jamaa akiwa hai...!!!
 
Mimi sio mlokole na infact nimuumini wa Logic zaidi kuliko believes ila T.B Joshua kwangu alikua mtu noble sana.
Jamaa alikua mtoaji sana, habagui dini. Ametembelea nchi zenye ukristo na uislam mkali na amesaidia taasisi na orphanage nyingi sana duniani, wanafunzi kwa wazee wamebenefit sana na huyu mtu.
Heshima yangu kwake kamwe haiwezi kushuka.
 
Kwanini walisubiri afe kwanza? Sisi tataamini vipi story ya upande mmoja?

Mbona hizo stori zilikuwepo akiwa hai na watu wake wakapinga. Hata mtumishi fake Jim Jones ujinga wake ulikulikna baada ya kujiua
 
Sasa mtu kama mwamposa anaanza watu tunamuona
Kaunga unga leo huyo hapo
Mwamposa alianzia kikanisa chao walikuwa kinondoni mitaa nyuma ya chichi hotel,tena walikuwa 3
Wakazinguana yeye akatoka hapo
Akaenda Vatican sinza alipotoka hapo
Kawe

Ova
Hao wote ni wajanja wasaka hela kwa wajinga
Mwingine huyu hapa
Utakuta waumini wasomi na wasiosoma
Wanaambiwa piteni kwenye mlango wa Mafanikio 2024
Halafu yeye anawasanifu huku akila apple
Aiseee wajinga wengi sana
Kwa haya afrika kutengeneza ndege au kwenda mwezini tusahau
 
Zipo nyingi youtube kwa miaka sasa.

Hii ya BBC itakuwa mojawapo tu, sema kwa vile wana jina kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…