uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Wataelewa Tu - S Kide
Wafuasi wa Mw...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataelewa Tu - S Kide
Mgalatia mwenzangu mbona umefura makasiliko kiasi hicho?Hivi yule sheikh mnajimu aliyekuwa anarundika waandishi pale nyumbani kwake magomeni jijini dar akitabiri mambo mazito yatakayotokea nchini/duniani utabiri wake ulikuwa sahihi kwa kiwango gani? Unafiki uachwe, abrakadabra ziko nyingi kwenye dini zote zilizoshika mentality za watu. Kuna dini zinaonekana zina waumini wengi na majengo makubwa yenye minara, tena waumini wake wakijinasibu wanamuabudu mungu wa kweli na dini yao ni ya haki kumbe ni abrakadabra zilezile tu za kina TB Joshua. BBC wasijitie wazimu kuchokonoa dini na imani za watu wakifikiri kuna dini mambo yake ni ya kweli halafu huko ikaacha kuchokonoa kwa kuhofia kuleta fujo duniani. Kuna dini duniani ni ya ajabu sana na imeteka fikra za watu wengi kwa mafundisho yake yasiyokuwa na uhakika, imekuwa kama ni mfumo tu wa kisiasa. BBC waache unafiki kuchokonoa dini/imani za watu wakati kuna dini nyingi tu wengine hawaziamini na maisha yanakwenda kama kawaida. Kuna dini ilichapishiwa mpaka kitabu kuonesha ushetani wake bado watu wanaiamini
Uchungaji umetokea wapi sasa kama anapiga dili zingine?
Ivi yule mama mweupe anaetoa miujiza n mke wake?,mbona na yeye kama anafanya utapel ivi?
Ukijiuliza hivyo nami nitajiuliza kwa nini TB Joshua hakusubiri ripoti ya BBC itoke kwanza ndipo afariki. Ripoti ya uchunguzi uchukua muda kuiandaa na haihitaji kukurupuka ili kupata ushahidi wa kutosha maana bila hivyo kisheria inaweza kukigharimu pakubwa chombo kikubwa cha habari kama BBC. Hivyo kuna uwezekano mkubwa kwamba wakati ripoti inaendelea kuandaliwa ndipo huyo bwana akafariki. Na hauwezi kujua kwa undani kile kifo chake cha ghafla kilitokana na nini hasa, usijekuta ni baada ya kugundua kuwa mambo yake ya sirini yameshawafikia BBC ndipo mapresha yakapanda na kupelekea kifo chake.Mimi ninachojiuliza kwa nini wamesubiri kuitoa wakati ameshafariki
Umeona sasa kituko walichotoa hao BBC? Aibu, jamaa wamekurupuka na allegations zisizo na ushahidi wowote. Majinga kabisa.Hata wangetoa akiwa hai bado mngebisha Kama unavyobisha
Nasikia jamaa alikuaga hatari sn. Kipindi yupo hai akigundua umetoa siri zake lazima akuue,eidha kwa ndumba au kwa kutumia kikundu chake maalum.Mimi ninachojiuliza kwa nini wamesubiri kuitoa wakati ameshafariki
Kwa nini hawakuitoa alipokuwa haiBreaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!!
Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters wameelezea matukio aliyofanya ambayo yanatarajiwa kupostiwa na BBC katika video
View attachment 2864719
Tizama kipande hiki cha BBC wakihoji watu waliokumbwa na unabii feki wa TB Joshua....
Hii inashangaza!!! [emoji33][emoji2196][emoji2196][emoji2196][emoji100]
[emoji342] Video Credit: BBC
View attachment 2864718
TB Joshua alikuwa ni mchungaji maarufu wa Kikristo na mwanzilishi wa kanisa la Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) huko Lagos, Nigeria. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika jamii na alihusika katika huduma za kiroho, uponyaji, na mafundisho ya Biblia. Hata hivyo, alifariki dunia mnamo Juni 2021.
Wewe ukisha msikia mtu ana jihita mtume au nabii kisha anasema Mungu wake anazo nafsi 3 au ukamsikia anasema Yesu alisulibiwa kwa sababu ya dhambi ya asili basi ujue moja kwa moja huyo ni shetani na mpumbavu muhuni ...(CHUKIZO LA UHALIBIFU LILILO SIMAMA PATAKATIFU )Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!!
Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters wameelezea matukio aliyofanya ambayo yanatarajiwa kupostiwa na BBC katika video
View attachment 2864719
Tizama kipande hiki cha BBC wakihoji watu waliokumbwa na unabii feki wa TB Joshua....
Hii inashangaza!!! [emoji33][emoji2196][emoji2196][emoji2196][emoji100]
[emoji342] Video Credit: BBC
View attachment 2864718
TB Joshua alikuwa ni mchungaji maarufu wa Kikristo na mwanzilishi wa kanisa la Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) huko Lagos, Nigeria. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika jamii na alihusika katika huduma za kiroho, uponyaji, na mafundisho ya Biblia. Hata hivyo, alifariki dunia mnamo Juni 2021.
Kabisa. Mbona majuzi tu Aljazeera wametoa ripoti ya yule prophet wa sijui Zimbabwe mfanya biashara ya madini ya magendoi, yupo hai na hadi leo hatujasikia kama kawapeleka mahakamani hao Aljazeera. Wengi wa hawa wafanyabiashara kupitia dini wana mambo makubwa sana ya ovyo.Hata wangetoa akiwa hai bado mngebisha Kama unavyobisha
Mabeberu Walikuwa wanamtumia kwa faida yao na kazi yake imeisha ni wakati wa kumfunua kwa kuweka upuuzi wake wazi ili bbc izidi kuaminika kwa faida ya mabeberu.Mimi ninachojiuliza kwa nini wamesubiri kuitoa wakati ameshafariki
Pumbavu kabisa, hivi wajinga kama nyie mnaendaga shule kufanya nini? Umeona hizo video au kile wanachoita report na lini wameanza kuiandaa? Kuhoji wanawake 3 wa kutoka Uingereza waliokuwa wanafanya kazi pale SCOAN ndio conclusion ya matukio ya TB Joshua? Unasema alikufa kwa pressure tokana na kuhofia BBC, wakati wao wenyewe wanakiri kuanza uchunguzi baada ya kifo chake.Ukijiuliza hivyo nami nitajiuliza kwa nini TB Joshua hakusubiri ripoti ya BBC itoke kwanza ndipo afariki. Ripoti ya uchunguzi uchukua muda kuiandaa na haihitaji kukurupuka ili kupata ushahidi wa kutosha maana bila hivyo kisheria inaweza kukigharimu pakubwa chombo kikubwa cha habari kama BBC. Hivyo kuna uwezekano mkubwa kwamba wakati ripoti inaendelea kuandaliwa ndipo huyo bwana akafariki. Na hauwezi kujua kwa undani kile kifo chake cha ghafla kilitokana na nini hasa, usijekuta ni baada ya kugundua kuwa mambo yake ya sirini yameshawafikia BBC ndipo mapresha yakapanda na kupelekea kifo chake.
Yule sheikh hakuwa dini. Yale yalikuwa mambo yake ya utabiri....Hivi yule sheikh mnajimu aliyekuwa anarundika waandishi pale nyumbani kwake magomeni jijini dar akitabiri mambo mazito yatakayotokea nchini/duniani utabiri wake ulikuwa sahihi kwa kiwango gani? Unafiki uachwe, abrakadabra ziko nyingi kwenye dini zote zilizoshika mentality za watu. Kuna dini zinaonekana zina waumini wengi na majengo makubwa yenye minara, tena waumini wake wakijinasibu wanamuabudu mungu wa kweli na dini yao ni ya haki kumbe ni abrakadabra zilezile tu za kina TB Joshua. BBC wasijitie wazimu kuchokonoa dini na imani za watu wakifikiri kuna dini mambo yake ni ya kweli halafu huko ikaacha kuchokonoa kwa kuhofia kuleta fujo duniani. Kuna dini duniani ni ya ajabu sana na imeteka fikra za watu wengi kwa mafundisho yake yasiyokuwa na uhakika, imekuwa kama ni mfumo tu wa kisiasa. BBC waache unafiki kuchokonoa dini/imani za watu wakati kuna dini nyingi tu wengine hawaziamini na maisha yanakwenda kama kawaida. Kuna dini ilichapishiwa mpaka kitabu kuonesha ushetani wake bado watu wanaiamini
Upako ni nadharia za kijuhaTV yake inayoitwa Emmanuel TV bado hipo
Kila binadamu ana udhaifu wake...awe mweusi au mweupe...Kama ni binaadam kwa asilimia 100 sidhani Kama yupo.
Kama kazushiwa jambo na inakupandisha hasira kiasi hicho hadi kunitukana mimi si kawashitaki BBC kwa niaba yake mjinga namba moja wewe?Pumbavu kabisa, hivi wajinga kama nyie mnaendaga shule kufanya nini? Umeona hizo video au kile wanachoita report na lini wameanza kuiandaa? Kuhoji wanawake 3 wa kutoka Uingereza waliokuwa wanafanya kazi pale SCOAN ndio conclusion ya matukio ya TB Joshua? Unasema alikufa kwa pressure tokana na kuhofia BBC, wakati wao wenyewe wanakiri kuanza uchunguzi baada ya kifo chake.
Simtetei kwa kuwa naye alikuwa binadamu, ila hili la BBC hamna kitu. Unahoji wanawake 3 raia wa uingereza na mwanamke 1 wa Namibia then unakuja na conclusion ya attack zako kwa mtu aliyekufa miaka 2. Hakuna ushahidi wa wao kubakwa au kuwa na mimba akawawalazimisha waitoe. Eti mmoja katoa mimba 5 za jamaa. Mbona hakuambatanisha au kuonesha cheti cha mimba au majibu tu kuwa alikuwa na mimba. Mbona hakuna ushahidi wa kipolisi, kidaktari au kibalozi kwa hao waUK waliobakwa.
Huu ni ujinga na siasa iliyopp kwenye usimamizi wa Kanisa tu kati ya Bi.Evelyne mkewe na baadhi ya wajumbe wa Bataza la Wadhamini wa Kanisa ila hakuna chochote cha maana.
Umeandika ushuzi wa hali ya juu dogo. Tuliza kijambio hiko. 😀😃😄😁😆😅Kama kazushiwa jambo na inakupandisha hasira kiasi hicho hadi kunitukana mimi si kawashitaki BBC kwa niaba yake mjinga namba moja wewe?
Hao sio walokole ni mapandikizi ya lucifer (shetani). Huduma nyingi za kiroho zinafanywa na shetani kuzuia na kudhoofisha imani ya wokovu! Hata hivyo wokovu ni halisi na watu wanaokoka na kuishi maisha ya haki hapa duniani. Kwa mfano watu kama Mwamposa, kuhani Musa, Mwingira, n.k hao wote ni satanic agentsWalokole mnapigwa sana na hamjui, hii iwape funzo.