BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

Hivi yule sheikh mnajimu aliyekuwa anarundika waandishi pale nyumbani kwake magomeni jijini dar akitabiri mambo mazito yatakayotokea nchini/duniani utabiri wake ulikuwa sahihi kwa kiwango gani? Unafiki uachwe, abrakadabra ziko nyingi kwenye dini zote zilizoshika mentality za watu. Kuna dini zinaonekana zina waumini wengi na majengo makubwa yenye minara, tena waumini wake wakijinasibu wanamuabudu mungu wa kweli na dini yao ni ya haki kumbe ni abrakadabra zilezile tu za kina TB Joshua. BBC wasijitie wazimu kuchokonoa dini na imani za watu wakifikiri kuna dini mambo yake ni ya kweli halafu huko ikaacha kuchokonoa kwa kuhofia kuleta fujo duniani. Kuna dini duniani ni ya ajabu sana na imeteka fikra za watu wengi kwa mafundisho yake yasiyokuwa na uhakika, imekuwa kama ni mfumo tu wa kisiasa. BBC waache unafiki kuchokonoa dini/imani za watu wakati kuna dini nyingi tu wengine hawaziamini na maisha yanakwenda kama kawaida. Kuna dini ilichapishiwa mpaka kitabu kuonesha ushetani wake bado watu wanaiamini
Mgalatia mwenzangu mbona umefura makasiliko kiasi hicho?
Haijatajwa dini ila umeongelewa utapeli wa TB Joshua.
Hawa matepeli walitabiriwa kuja kwao hadi miujiza yao ya kilaghai.
Acha waanikwe ili ikiwezekana baadhi ya kondoo wenye akili wapone.
Shida kubwa ipo kwa kondoo. Hawataki kwenda malishoni wanakimbilia machinjioni.
Hizi zama zimetabiriwa!
 
Uchungaji umetokea wapi sasa kama anapiga dili zingine?

Yule Mzee ni mfanyabiashara tokea zamani uchungaji ulikuja tu Kama fursa. Alikuwa mshirika wa KLPT Lindi Street , na alianza na biashara ya kuuza vitabu, ghafla akaanzisha television na kanisa juu yake.
 
BBC nyie siyo wa kwanza wapo waliosema Yesu hakufa wanafunzi walimuiba kwahiyo duniani Kila linalofanyika lazima waje wapinzani Kwa hiyo utafiti wenu Wala siyo utafiti tu lakini na Hila njama mbaya juu ya kanisa tunajua ipo.

Nakumbuka wazungu pia aalipofika afrika walipoona dawa zetu zinaponya walisema Zina madhara Hadi Leo vyuo vyetu vya kiafrika zinafindisha hivo masikini ya Mungu sijui yataisha lini??! Endeleeni TU Ili wale wenye AKILI tulishajua nyuma yenu Kuna nini
 
Mimi ninachojiuliza kwa nini wamesubiri kuitoa wakati ameshafariki
Ukijiuliza hivyo nami nitajiuliza kwa nini TB Joshua hakusubiri ripoti ya BBC itoke kwanza ndipo afariki. Ripoti ya uchunguzi uchukua muda kuiandaa na haihitaji kukurupuka ili kupata ushahidi wa kutosha maana bila hivyo kisheria inaweza kukigharimu pakubwa chombo kikubwa cha habari kama BBC. Hivyo kuna uwezekano mkubwa kwamba wakati ripoti inaendelea kuandaliwa ndipo huyo bwana akafariki. Na hauwezi kujua kwa undani kile kifo chake cha ghafla kilitokana na nini hasa, usijekuta ni baada ya kugundua kuwa mambo yake ya sirini yameshawafikia BBC ndipo mapresha yakapanda na kupelekea kifo chake.
 
Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!!

Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters wameelezea matukio aliyofanya ambayo yanatarajiwa kupostiwa na BBC katika video
View attachment 2864719

Tizama kipande hiki cha BBC wakihoji watu waliokumbwa na unabii feki wa TB Joshua....
Hii inashangaza!!! [emoji33][emoji2196][emoji2196][emoji2196][emoji100]

[emoji342] Video Credit: BBC
View attachment 2864718

TB Joshua alikuwa ni mchungaji maarufu wa Kikristo na mwanzilishi wa kanisa la Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) huko Lagos, Nigeria. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika jamii na alihusika katika huduma za kiroho, uponyaji, na mafundisho ya Biblia. Hata hivyo, alifariki dunia mnamo Juni 2021.
Kwa nini hawakuitoa alipokuwa hai
 
Wajinga ndio waliwao..Huyu Timotebo ni tapeli alikua mwizi kam wengine wengi sana walioko hapa Afrika.Utapeli wao na wizi wao unajulikana wazi kabisa.
 
Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!!

Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters wameelezea matukio aliyofanya ambayo yanatarajiwa kupostiwa na BBC katika video
View attachment 2864719

Tizama kipande hiki cha BBC wakihoji watu waliokumbwa na unabii feki wa TB Joshua....
Hii inashangaza!!! [emoji33][emoji2196][emoji2196][emoji2196][emoji100]

[emoji342] Video Credit: BBC
View attachment 2864718

TB Joshua alikuwa ni mchungaji maarufu wa Kikristo na mwanzilishi wa kanisa la Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) huko Lagos, Nigeria. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika jamii na alihusika katika huduma za kiroho, uponyaji, na mafundisho ya Biblia. Hata hivyo, alifariki dunia mnamo Juni 2021.
Wewe ukisha msikia mtu ana jihita mtume au nabii kisha anasema Mungu wake anazo nafsi 3 au ukamsikia anasema Yesu alisulibiwa kwa sababu ya dhambi ya asili basi ujue moja kwa moja huyo ni shetani na mpumbavu muhuni ...(CHUKIZO LA UHALIBIFU LILILO SIMAMA PATAKATIFU )
au ukimuuliza kwanini Yesu alijalibiwa majaribu matatu jangwani akashindwa kukupa jibu sahihi au ukimuuliza 666 ni nini akakuambia ...666 ni kanisa katoriki au ni papa au ni kiumbe furani kijacho basi jua huyo ni muhuni tu.....KWA MUJIBU WA INJILI YA KWELI NINAYO IJUA MIMI AMBAYO NI SAHIHI ASILIMIA 100% HAYO MAJIBU YOTE NI KINYUME CHA INJILI PIA HAKUNA MTUME WALA NABII ASIYE YAJUA MAJIBU SAHIHI YA HAYO MASWALI KWA SABABU UWEZI KUWA MKRISTO MTAKATIFU KAMA HATA HAYO MASWALI HUYAJUI ....kwa kuwa huo ndiyo msingi wa ukristo wa kweli ...kama ujajui hayo majibu sahihi ya hayo maswali maana yake hata unacho abudu ni ushetani.
 
Hata wangetoa akiwa hai bado mngebisha Kama unavyobisha
Kabisa. Mbona majuzi tu Aljazeera wametoa ripoti ya yule prophet wa sijui Zimbabwe mfanya biashara ya madini ya magendoi, yupo hai na hadi leo hatujasikia kama kawapeleka mahakamani hao Aljazeera. Wengi wa hawa wafanyabiashara kupitia dini wana mambo makubwa sana ya ovyo.
 
Mimi ninachojiuliza kwa nini wamesubiri kuitoa wakati ameshafariki
Mabeberu Walikuwa wanamtumia kwa faida yao na kazi yake imeisha ni wakati wa kumfunua kwa kuweka upuuzi wake wazi ili bbc izidi kuaminika kwa faida ya mabeberu.
 
Ukijiuliza hivyo nami nitajiuliza kwa nini TB Joshua hakusubiri ripoti ya BBC itoke kwanza ndipo afariki. Ripoti ya uchunguzi uchukua muda kuiandaa na haihitaji kukurupuka ili kupata ushahidi wa kutosha maana bila hivyo kisheria inaweza kukigharimu pakubwa chombo kikubwa cha habari kama BBC. Hivyo kuna uwezekano mkubwa kwamba wakati ripoti inaendelea kuandaliwa ndipo huyo bwana akafariki. Na hauwezi kujua kwa undani kile kifo chake cha ghafla kilitokana na nini hasa, usijekuta ni baada ya kugundua kuwa mambo yake ya sirini yameshawafikia BBC ndipo mapresha yakapanda na kupelekea kifo chake.
Pumbavu kabisa, hivi wajinga kama nyie mnaendaga shule kufanya nini? Umeona hizo video au kile wanachoita report na lini wameanza kuiandaa? Kuhoji wanawake 3 wa kutoka Uingereza waliokuwa wanafanya kazi pale SCOAN ndio conclusion ya matukio ya TB Joshua? Unasema alikufa kwa pressure tokana na kuhofia BBC, wakati wao wenyewe wanakiri kuanza uchunguzi baada ya kifo chake.

Simtetei kwa kuwa naye alikuwa binadamu, ila hili la BBC hamna kitu. Unahoji wanawake 3 raia wa uingereza na mwanamke 1 wa Namibia then unakuja na conclusion ya attack zako kwa mtu aliyekufa miaka 2. Hakuna ushahidi wa wao kubakwa au kuwa na mimba akawawalazimisha waitoe. Eti mmoja katoa mimba 5 za jamaa. Mbona hakuambatanisha au kuonesha cheti cha mimba au majibu tu kuwa alikuwa na mimba. Mbona hakuna ushahidi wa kipolisi, kidaktari au kibalozi kwa hao waUK waliobakwa.

Huu ni ujinga na siasa iliyopp kwenye usimamizi wa Kanisa tu kati ya Bi.Evelyne mkewe na baadhi ya wajumbe wa Bataza la Wadhamini wa Kanisa ila hakuna chochote cha maana.
 
Hivi yule sheikh mnajimu aliyekuwa anarundika waandishi pale nyumbani kwake magomeni jijini dar akitabiri mambo mazito yatakayotokea nchini/duniani utabiri wake ulikuwa sahihi kwa kiwango gani? Unafiki uachwe, abrakadabra ziko nyingi kwenye dini zote zilizoshika mentality za watu. Kuna dini zinaonekana zina waumini wengi na majengo makubwa yenye minara, tena waumini wake wakijinasibu wanamuabudu mungu wa kweli na dini yao ni ya haki kumbe ni abrakadabra zilezile tu za kina TB Joshua. BBC wasijitie wazimu kuchokonoa dini na imani za watu wakifikiri kuna dini mambo yake ni ya kweli halafu huko ikaacha kuchokonoa kwa kuhofia kuleta fujo duniani. Kuna dini duniani ni ya ajabu sana na imeteka fikra za watu wengi kwa mafundisho yake yasiyokuwa na uhakika, imekuwa kama ni mfumo tu wa kisiasa. BBC waache unafiki kuchokonoa dini/imani za watu wakati kuna dini nyingi tu wengine hawaziamini na maisha yanakwenda kama kawaida. Kuna dini ilichapishiwa mpaka kitabu kuonesha ushetani wake bado watu wanaiamini
Yule sheikh hakuwa dini. Yale yalikuwa mambo yake ya utabiri....
Joshua hawamsemi kwa dini. Ni mambo yake mwenyewe.
Ukristo na Uislamu ni tofauti na watu binafsi..
 
Pumbavu kabisa, hivi wajinga kama nyie mnaendaga shule kufanya nini? Umeona hizo video au kile wanachoita report na lini wameanza kuiandaa? Kuhoji wanawake 3 wa kutoka Uingereza waliokuwa wanafanya kazi pale SCOAN ndio conclusion ya matukio ya TB Joshua? Unasema alikufa kwa pressure tokana na kuhofia BBC, wakati wao wenyewe wanakiri kuanza uchunguzi baada ya kifo chake.

Simtetei kwa kuwa naye alikuwa binadamu, ila hili la BBC hamna kitu. Unahoji wanawake 3 raia wa uingereza na mwanamke 1 wa Namibia then unakuja na conclusion ya attack zako kwa mtu aliyekufa miaka 2. Hakuna ushahidi wa wao kubakwa au kuwa na mimba akawawalazimisha waitoe. Eti mmoja katoa mimba 5 za jamaa. Mbona hakuambatanisha au kuonesha cheti cha mimba au majibu tu kuwa alikuwa na mimba. Mbona hakuna ushahidi wa kipolisi, kidaktari au kibalozi kwa hao waUK waliobakwa.

Huu ni ujinga na siasa iliyopp kwenye usimamizi wa Kanisa tu kati ya Bi.Evelyne mkewe na baadhi ya wajumbe wa Bataza la Wadhamini wa Kanisa ila hakuna chochote cha maana.
Kama kazushiwa jambo na inakupandisha hasira kiasi hicho hadi kunitukana mimi si kawashitaki BBC kwa niaba yake mjinga namba moja wewe?
 
Walokole mnapigwa sana na hamjui, hii iwape funzo.
Hao sio walokole ni mapandikizi ya lucifer (shetani). Huduma nyingi za kiroho zinafanywa na shetani kuzuia na kudhoofisha imani ya wokovu! Hata hivyo wokovu ni halisi na watu wanaokoka na kuishi maisha ya haki hapa duniani. Kwa mfano watu kama Mwamposa, kuhani Musa, Mwingira, n.k hao wote ni satanic agents
 
Back
Top Bottom