Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwajima yuko hai na anadai anafufua wafu. mbona wagalatia bado wanajaa kanisani kwake na kutoa fungu la 10 kwa huyo tapeli?
I'm pretty sure you're one of those scatterbrains who've been heavily indoctrinated with religious teachings from the so called prophet and here you're trying to defend his irrational beliefs and moral misdeeds. Shame on you. Jinga kabisa. Na ulivyo mjinga unadhani hapa JF wote ni watoto.Umeandika ushuzi wa hali ya juu dogo. Tuliza kijambio hiko. 😀😃😄😁😆😅
Hatuna budi kuwa wafuasi wa Yesu Kristo, si wanadamu na dini zao hata kama ni za kikristo. Kamwe tusiwe wafuasi wao hata kama wana majina makubwa mno ya kidini na miujiza mingi, kwa kuwa Mchungaji Mwema ni Yesu pekee. Yesu tu atosha, wengine futilia mbali kabisa!Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!!
Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters wameelezea matukio aliyofanya ambayo yanatarajiwa kupostiwa na BBC katika video
View attachment 2864719
Tizama kipande hiki cha BBC wakihoji watu waliokumbwa na unabii feki wa TB Joshua....
Hii inashangaza!!! 😱🚴🏿♀️🚴🏿♀️🚴🏿♀️💨
📺 Video Credit: BBC
View attachment 2864718
TB Joshua alikuwa ni mchungaji maarufu wa Kikristo na mwanzilishi wa kanisa la Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) huko Lagos, Nigeria. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika jamii na alihusika katika huduma za kiroho, uponyaji, na mafundisho ya Biblia. Hata hivyo, alifariki dunia mnamo Juni 2021.
Pia soma: UCHUNGUZI WA BBC: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake
Hakika,Wafanye haraka sana na wakiweza wafanye hivyo kwa manabii wote
Mbona BBC wanachokonoa RC na ushoga kwa kuanika makasisi wao?BBC waache unafiki, abrakadabra ziko nyingi hata kwenye dini zenye watu wengi, mbona huko hawachokonoi? Akina Rushdie walithubutu kuchimbua ushetani ulioko kwenye dini fulani kubwa duniani wakaishia kutangaziwa kifo popote walipo na juzijuzi huyo mwandishi wa kitabu hicho nusura wapoteze maisha yake huko alikokimbilia tangu miaka mingi. BBC wanaona hakuna madhara watayopata toka kwa wafuasi wa TB Joshua na yeye hayupo duniani kuwajibu ndio wanajitia wazimu kuchokonoa imani hiyo. Hebu wajaribu kuchokonoa ile imani ya dini ile machachari kama wataacha kuona rangi zote. Kila dini ina abrakadabra zake na watu wanaamini
Walikamilisha lini uchunguzi wao?Mimi ninachojiuliza kwa nini wamesubiri kuitoa wakati ameshafariki
Sahihi, kuna visa vingi sana duniani kama vya Jimmy SavileInategemea wamepata habari lini. Kuna vitu/siri nyingine hujulikana baada ya mtu kufariki. Mimi huyu hata kabla hajafariki nilishajua ni mwongo. Kuna siku aliponya mtu kasema am,etoka Tanzania huku anazungumza ikiingereza kila cha ki-nigeria
Aliahidi kumjengea barabara mzee wa Upako ya kwenda kanisani kwake!Kwa babu wa kikombe yumoo.
Kwa TB Joshua yumoo.
Jamaa alikuwa na akili ya kuchotwa kirahisi sana huyu.
Jifunze kwa visa kama vya Jimmy Savile, vitapanua ubongo wakoKwanini walisubiri afe kwanza? Sisi tataamini vipi story ya upande mmoja?
Inayoitwa dini ya Kikristo ni Utapeli.Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!!
Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters wameelezea matukio aliyofanya ambayo yanatarajiwa kupostiwa na BBC katika video
View attachment 2864719
Tizama kipande hiki cha BBC wakihoji watu waliokumbwa na unabii feki wa TB Joshua....
Hii inashangaza!!! 😱🚴🏿♀️🚴🏿♀️🚴🏿♀️💨
📺 Video Credit: BBC
View attachment 2864718
TB Joshua alikuwa ni mchungaji maarufu wa Kikristo na mwanzilishi wa kanisa la Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) huko Lagos, Nigeria. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika jamii na alihusika katika huduma za kiroho, uponyaji, na mafundisho ya Biblia. Hata hivyo, alifariki dunia mnamo Juni 2021.
Pia soma: UCHUNGUZI WA BBC: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake
Tuliza kichwa. Unajua lengo la kuanzishwa kwa BBC? Fuatilia kisha uje tena hapa utuambie kama wanachofanya ni tofauti na lengo lao.Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!!