Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hata mafisadi, wauza dawa za kulevya na wafanyabiashara wakwepa kodi huwa wanasaidia sana watu.Mimi sio mlokole na infact nimuumini wa Logic zaidi kuliko believes ila T.B Joshua kwangu alikua mtu noble sana.
Jamaa alikua mtoaji sana, habagui dini. Ametembelea nchi zenye ukristo na uislam mkali na amesaidia taasisi na orphanage nyingi sana duniani, wanafunzi kwa wazee wamebenefit sana na huyu mtu.
Heshima yangu kwake kamwe haiwezi kushuka.
Pablo escobar alikuwa anajenga hadi shule, viwanja vya mpira na makanisa. Vita vya madawa ya kulevya Mexico imekuwa ngumu zaidi kwa sababu cartels wanasaidia sana watu na taasisi mbalimbali.