BBC: Misinformation on corona virus has spread in Africa

Zama za media za UK na USA kuwa sources za truth zimeisha
Walichoandika, wao ni primary source au wametumia reference?!
It is absurd kuona BBC anaquote 2 Facebook posts kuhusu blue masks na kufanya hizo posts ziwe representative wa zaidi ya watu bilioni moja Africa
It stopped to be absurd, and something to ignore a moment Rais kutoka nchi ambayo watu wake wengi wana uelewa mdogo, alipoongea hadharani almost kitu kile kile kwamba baadhi ya barakoa zina coronavirus!! Btw, hivi unapuuza vipi post iliyokuwa shared karibu mara 40K?

Mbaya zaidi wanaquote kujifukiza kama pia the Africa issues/misconception...
Hiyo ya kuwa ni African issue/misconception umeisema wewe, walichosema wao ni:-
The false claim that inhaling steam is an effective treatment against coronavirus has surfaced once again, this time in Tanzania with an endorsement by its president.
Mnashangaza sana mnaposhabikia kauli kama hizo, na hamtaki kuona watu wanaweka kumbukumbu sawa
Tumejifukiza for decades, na hatujifukizi Kwa mvuke wa maji Tu Bali kuna volatile oils, chemicals na other therapeutic ingredients kwenye hot steam
Hiyo miaka yote mlikuwa mnajifukisha ili kutibu au kuua coronavirus kama alivyodanganya Magufuli kwamba kujifukisha kunaua virus?!
It's laughable Kwamba BBC wanahangaika na Sisi wakati kwao hakujapoa
Maajabu haya... yaani hutaki watu kuweka rekodi sahihi eti kisa na "kwao" yamewashinda?!
 
Lazima mshipa wa shingo ukukatike, we'll continue to "kujifukiza", kunywa chai ya tangawizi mix limao, majani ya mlonge nk hadi hili lipite. Tumefanya hivyo miaka mingi tu na hata hao BBC na ndugu zao waliofanya projection ya more than 10million deaths kufikia July wataendelea kushangaa.
 
Yale yale... sounds like mmekaririshwaTUMEFANYA HIVYO MIAKA MINGI TU!!

Nimeuliza hapa: Hiyo miaka mingi mliyofanya hivyo mlikuwa mnafanya ili kuua coronavirus kama alivyosema Magufuli kwamba ukijifukisha unaua virus?!
 
Yaan hata sielewi unachokiongea nini, umeacha mada unaanza kuropoka kama umekunywa maji ya chooni,
Nakupuuza sina muda wa kuargue na waathirika wa ujinga.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Mie unitoe kwenye majumuisho yako, utasemaje "sisi" tupambane, hapo mie niondoe pls

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tofauti Kati ya kilichoandikwa kwenye reference yako na alichosema Magufuli.

Nukuu yako inazungumzia mvuke wa maji wakati Magufuli anazungumzia mvuke wa madawa(miti, majani, mizizi au madini yaliyochemshwa au kuchomwa)
Point bado ni mvuke, kwani hayo majani hayachemshwi na maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuambia utakatika mshipa wa shingo wewe. Hatred has never been good to anyone.

How to kill the coronavirus; learn from Chinese expert
TOO LOW... eti hatred! Yaani nina chuki kisa nimegoma kutetea na kushabikia ujinga?!

Again, hiyo toka zamani mliyokuwa mnajifukisha mvuke, mlikuwa mnafanya hivyo ili kuua coronavirus?!

Swali lipo straightforward... unaruka ruka nini badala ya kujibu?!
 
Kwani madawa yanapelekwa na mvuke kwa dozi gani, maana hujui kiwango cha infection usije kuwa unakunywa sumu.

Kumbuka dawa inaweza kuwa sumu usipoitumia kwa vipimo maalum.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan hata sielewi unachokiongea nini, umeacha mada unaanza kuropoka kama umekunywa maji ya chooni,
Nakupuuza sina muda wa kuargue na waathirika wa ujinga.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Jibu swali boya wewe!!! Eti nimeacha mada!! Nimeacha mada au umeshindwa kutetea ujinga ulioandika?! NI nani aliyeandika hii post hapa chini:-
How come useme nimeacha mada wakati hapo umeandika mwenyewe, na nilichokuuliza kinahusiana na ulichoandika!! Kama hadi hapo hujajua kwamba wewe ndo mjinga basi utakuwa mpumbavu!
 
Kumbe tunashabikia hapa? Basi endelea kushabikia unachoshabikia. Mimi naendelea kujikinga na maambukizi ya Corona kwa kufuata njia zote zitakazonikinga.
 
Kumbe tunashabikia hapa? Basi endelea kushabikia unachoshabikia. Mimi naendelea kujikinga na maambukizi ya Corona kwa kufuata njia zote zitakazonikinga.
Jibu nilichokuuliza, kama huna jibu, piga kimya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…