Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
In all honesty, Tundu Lissu has won me over.Asante BBC π₯π₯π₯
CCM ya sasa imejaa vilaza ambao akili zao wamezipa likizo na kubakisha akili kiduuuchu tu za kuvukia barabara, kwendea msalani na kumsifia Samia.Samia hana uwezo hata kiduchu tu wa kuhojiwa kwenye kipindi kama cha HardTalk π.
Kwa CCM ya sasa hakuna mwenye uwezo wa kufanya mahojiano na vipindi kama HardTalk.
Waliokuwa na uwezo huo huko CCM walishakufa wote.
Wapo wengi CCM wenye akili. Tatizo ufisadi na uoga. Hawana maadili wala ujasiri wa kwenda kinyume na utawala uliowaweka madarakani.CCM ya sasa imejaa vilaza ambao akili zao wamezipa likizo na kubakisha akili kiduuuchu tu za kuvukia barabara, kwendea msalani na kumsifia Samia.
Ni kweli akili wanazo bali wamebadili matumizi ya akili zao, mfano ni Profesa Kabudi yule wa Tume ya Warioba na Profesa Kabudi wa leo hii, au Profesa Mkumbo wa Chadema na Profesa Mkumbo wa CCM.Wapo wengi CCM wenye akili. Tatizo ufisadi na woga. Hawana maadili wala ujasiri wa kwenda kinyume na utawala uliowaweka madarakani.
His story is a true testament of being born for it. He was chosen for this.....Samia hana uwezo hata kiduchu tu wa kuhojiwa kwenye kipindi kama cha HardTalk π.
Kwa CCM ya sasa hakuna mwenye uwezo wa kufanya mahojiano na vipindi kama HardTalk.
Waliokuwa na uwezo huo huko CCM walishakufa wote.
He is the cleanest politician we have in an ere of corruption pandemic in Tanzania.In all honesty, Tundu Lissu has won me over.
He has more than proven that he is the real deal.
Do I care? Imbecile !!CHIEF PRIEST ! π ... I hate you too!
... as serious as If your life depended on it!Do I care? Imbecile !!
Mkuu acha masihara, yaani unamuwazia mtu asiyejua hata exchange rate ya pesa maarufu zaidi duniani (US dolla) kwenda kuhojiwa Hard Talk ya BBC?!?!.Samia hana uwezo hata kiduchu tu wa kuhojiwa kwenye kipindi kama cha HardTalk π.
Kwa CCM ya sasa hakuna mwenye uwezo wa kufanya mahojiano na vipindi kama HardTalk.
Waliokuwa na uwezo huo huko CCM walishakufa wote.
π€£Mkuu acha masihara, yaani unamuwazia mtu asiyejua hata exchange rate ya pesa maarufu zaidi duniani (US dolla) kwenda kuhojiwa Hard Talk ya BBC?!?!.
Umekosea sana kuwaza vby!.